Dr. Kitila na Mwikabe wafika mahakamani Singida, kesi yaahirishwa

Dr. Kitila na Mwikabe wafika mahakamani Singida, kesi yaahirishwa

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
573
Ile kesi inayowakabili viongozi wa CDM AMBAO NI DK.KITILA MKUMBO, JJ MNYIKA NA MWIKABE WAITARA IMEANZA KUSIKILIZWA LEO MKOANI SINGIDA MWENYE TAARIFA ZAID JUU YAKINACHOENDELEA ATUJUZE KUMBUKA WANADAIWA KUMTOLEA MANENO YA UDHALILISHAJ MBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI MWIGULU NCHEMBA NAWASILISHA

===========
UPDATE:

Kwa mujibu wa vyanzo vya JF, kesi hii imeahirishwa hadi Novemba 19, 2012. Mashahidi upande wa mashtaka wamekwishaanza kutoa ushahidi.

 
Tunawatakia kila la kheri makamanda 2po nanyi,msife moyo ukombozi una vikwazo vingi lakin pamoja tutashinda!
 
Wasiache kwenda kumtembelea yule Mbwa wa Mh.Mwigulu aliyemvisha bendera ya CDM.
 
Nitawaletea yaliyojiri baadae nilikuwepo mahakamani
 
Mnyika si mmoja ya waliopo mahakamani, walishtakiwa Dr Mkumbo na Mwikabe
 
Aliyetoa ushahidi ni s/sgt Longino, washtakiwa walitetewa na mawakili onesmo na Kim
 
Kwa ufupi alisema siku ya mkutano Mwikabe Waitara alisema Mwigulu ni malaya, fisadi, ze comedy. Anasema wana ccm walikataa mbunge wao kukashifiwa na kuanza kurusha mawe. Alisema kuna vijana wa ccm walikuwa wanafanya fujo
 
Alisema waliogopa kuwakamata vijana wa ccm ili kuepusha fujo zaidi
 
Kwa ufupi alisema siku ya mkutano Mwikabe Waitara alisema Mwigulu ni malaya, fisadi, ze comedy. Anasema wana ccm walikataa mbunge wao kukashifiwa na kuanza kurusha mawe. Alisema kuna vijana wa ccm walikuwa wanafanya fujo
 
Alisema vijana waliokuwa wanafanya fujo wanafahamika na Mnyika alimwagiza wakamatwe lakini yeye aliwaambia chadema wafungue RB. Chadema walifungua RB kwa ajili ya vijana walioonskana walifanya fujo lakini hakuna hata kijana mmoja aliyekamatwa
 
Mwigulu ni yule aliyefumaniwa kule Igunga??????????? mkama ni huyu mbona mdomo wake huwa ni mchafu sanaaaaaaaaaa,angalia hata kitendo cha kufumaniwa na mke wa mwanashishiem mwenzake pale Igunga. Utamu huwa unamnogeaga sana mshikaji.
 
Alikiri vijana walikuja na mawe mfukoni na walikuwa wamevaa nembo za ccm hivyo inaonekana walikuwa wameandaliwa kufanya fujo.
 
Aliulizwa kama akina Wasira, Nape nk ambao kila siku wanatukana watu kama nao wapo mahakamani alisema hapana
 
Pia alikiri kuotwa mzinzi si tusi ndio maana hata wachungaji wanahubiri watu waache uzinzi, pia ze comedy si tusi
 
Ulitokea ubishani wa kisheria kuhusu document fulani na hivyo kesi ikaahirishwa hadi tarehe 19 november
 
Back
Top Bottom