Dr Kumbuka: Mwanaume anayechamba kama mwanamke

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598


Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni
Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo).

Michambo yake inafundisha zaidi wanawake na wanaume tabia zao na jamii kwa ujumla. Zaidi pia michambo hiyo hufurahisha sana.

Hufurahisha zaidi pale anapokuwa akiongea maana huweka kionjo cha 'mama' kwakweli ukimsikiliza lazima ufurahi.

Na hii ni baadhi ya michambo yake kwa wanawake wanaoachana na waume zao na kusema wanaume vibamia hasa baada ya kuachana.
Anasema mwanamke anapokua na mwanaume humfurahisha na kumfikisha mwanamke tena mpaka anataja vituo vyote Chalinze, Ruvu mpaka Moro mjini ila akiachwa anaanza kusema 'kibamia'.

Anasema wanaume wanavumilia mengi hawasemi, ila wanawake wa siku hizi wana historia wana hila na tabia mbovu kama 'vijoka kobra' anasema wanaume hukutana na wanawake wengine mabwawa kama Mtera.

Anasema wanawake wengi wakilala wanalala kama wanasoma gazeti, wengine kila siku vifo vya mende.
 
yupo na mwenzie ana kithembe naye ni mtu wa maskala kwa kioo sana.

kifupi hawa jamaa ni wazuri mno.sijui kama wanatumika.
 
Mwanaume wa ukweli unaanzaje kuchamba/kusuta tena mambo ya kikevhuku umejipaka mkorogo??? Hayo mambo ni ya wanawake....Napata ukakasi kidogo hapo...shabaaaash
 
Si kila mwenye jinsia ya kiume ni Mwanaume, hili unapaswa ulitambuwe vyema.

Kwa kifupi hakuna mwanaume anayeweza kutumia hayo maneno "Kuchamba"
 
Kwani utaratibu wa kuchamba upoje? Tuanzie hapo kwnza. Na je ni sheria kuchamba achambe mwanamke tu au wote na me? Kuchamba ndio nini ?
We acha hii tenzi ya "kuchamba"!!! Imefanya nichanganye mawazo yangu, Mwanaume anachamba kama mwanamke!!!?, Nafikiri Donatila Amemaanisha, au hakumaanisha!! Haya tuwaachie wenyewe.
 
kuna mwingine ana kithembe cjui ni ulimi mzito ana sura ya kike na bado kajichubua naye anaongea hovyo cjui ni ndugu wa dida?
 
Ana mke kabisa wa ndani ya ndoa..
Sio kila mchambaji ni type za kina bilal mashauzi

No research no right to speak!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…