Dr Kumbuka: Mwanaume anayechamba kama mwanamke

Dr Kumbuka: Mwanaume anayechamba kama mwanamke

Wanaume wa dar hao, huku kwetu usukumani hatuna hayo mambo ya kuchambana.
 
View attachment 597824

Dr Kumbuka mwanaume anayechamba kama mwanamke, mwanaume huyu ni
Presenter wa Times Fm, anamaneno kuliko wanawake wa uswahilini, usoni kajipiga kitaulo (Mkorogo).

Michambo yake inafundisha zaidi wanawake na wanaume tabia zao na jamii kwa ujumla. Zaidi pia michambo hiyo hufurahisha sana.

Hufurahisha zaidi pale anapokuwa akiongea maana huweka kionjo cha 'mama' kwakweli ukimsikiliza lazima ufurahi.

Na hii ni baadhi ya michambo yake kwa wanawake wanaoachana na waume zao na kusema wanaume vibamia hasa baada ya kuachana.

Anasema mwanamke anapokua na mwanaume humfurahisha na kumfikisha mwanamke tena mpaka anataja vituo vyote Chalinze, Ruvu mpaka Moro mjini ila akiachwa anaanza kusema 'kibamia'.

Anasema wanaume wanavumilia mengi hawasemi, ila wanawake wa siku hizi wana historia wana hila na tabia mbovu kama 'vijoka kobra' anasema wanaume hukutana na wanawake wengine mabwawa kama Mtera.

Anasema wanawake wengi wakilala wanalala kama wanasoma gazeti, wengine kila siku vifo vya mende.

hahahahahahahahahahahaha uwiii
 
Mods hebu futeni huu uzi maana haukidhi haja na mategemeo ya msomaji,
Mimi nilivyofungua video ya huu uzi nilitegemea kuona dume "likichamba" kama mwanamke badala yake nimemaliza bando bure kumsikiliza mwanaume mwenye kithembe anaeongea kama mwanamke.
Tena nilikua mvumilivu kweli nikiangalia video hadi mwisho nikitegemea labda atavua mwishoni, kumbe wapi hamna kitu
 
Niliacha kusikiliza radio asbh naweka mp3 safari na muziki...vfm siku hizi utumbo tupu
 
Back
Top Bottom