Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
na najua kuwa kulikuwa na utaratibu unafanywa ili apelekwe ng'ambo kwa matibabu,lakini Mauti yamemfika kabla mipango hiyo haijafanikiwa...
Msiba utakua wapi? Mbezi Beach karibu na Art Gallery au?
RIP DR GAMA.RIP Dr. Gama...🙁
Hivi huyu bwana alikua anafanya nini siku za karibuni, ni muda mrefu sijamsikia.
WAPI MZEE ES...nadhani hukosi cha kusema kuhusu comrade Gama......hii ndio JF bwana ......hatupondi tu hata walioacha alama za kutukuka kama Gama .....tunawasifia bila kupigiwa debe!!!
You have made me lough like a small baby!! Wazungu atawatibu nani afrika? Prof Kifimboyeye?Look at Miafrika! Mbona mizungu ikiugua hailetwi Afrika kwa matibabu?
Maneno mazito haya ndugu yangu.Huku ndio kufa umeacha legacy maana hakuna sababu ya kutafuta ma MC waanze kukupigia debe wewe ulikuwa nani.Viwanja vya michezo vikitamkwa tu na jina lako linainuliwa juu juu. Kazi kwenu kina Sophia Simba, Mathias Chikawe, na ma Dr kama Nchimbi na wengineo....sijui mtatuachia legacy gani!!huyu ni gama bwana ...moja ya boardguards wa [aide camp] wa kwanza wa MWALIMU alitrain ISRAEL .....kwa mwalimu ...akampata dada yake mwalimu[alishakufa zamani]..akawa shemeji wa mwalimu..baada ya hapo...mwanzililishi wa JKT...akiwa na maj gen kaswende[enzi hizo mkuu wa jkt anaitwa director kama TISS]....,akahamia usalama kama director..mkuu wa mikoa mbalimbali ,mbunge ....katibu mkuu wa CCM.
ANAKUMBUKWA KAMA MPENDA MICHEZO ALIJENGA VIWANJA MAJIMAJI,ALI HASSAN MWINYI....AKAANZISHA TIMU MAJIMAJI, na MIRAMBO[YA Akina Feruz telu..mnamkumbuka..?]...kimsingi ni daktari wa uchumi wa kijamaaa na kwa matendo na maendeleo aliyoshirikisha watu ...anastahili kuitwa DR...ma dr wa siku hizi PHD zao zimesaidia nini wananchi??? hakuwa fisadi...?? alikuwa mjamaa wa vitendo...nasikitika comrade mwenzake kama KINGUNGE hatapata bahati ya kuacha alama hizi akifa..kwani ameshaitukana historia yake.....kwa mzee ni muhimu kufa kwa heshima...
huyo ndie CHIFU LAWRENCE MTAZAMA GAMA comrade wa kiukweli ukweli!!
huyu ni gama bwana ...moja ya boardguards wa [aide camp] wa kwanza wa MWALIMU alitrain ISRAEL .....kwa mwalimu ...akampata dada yake mwalimu[alishakufa zamani]..akawa shemeji wa mwalimu..baada ya hapo...mwanzililishi wa JKT...akiwa na maj gen kaswende[enzi hizo mkuu wa jkt anaitwa director kama TISS]....,akahamia usalama kama director..mkuu wa mikoa mbalimbali ,mbunge ....katibu mkuu wa CCM.