itu vingine vinakuja automatically.Ningekuona genius kama ungemuelezea Ali Kiba bila kumtaja Diamond
[emoji134] [emoji125] [emoji23] [emoji23]Yale yale ya Ray na Kanumba, yule kajiita "the great" huyu akaja na "the greatest" , yule alivyoanza kutoboa kimataifa huyu nae akaamka usingizini nae akaanza mbio za kimataifa, yule amefariki huyu nae akakosa motivation sasa hivi yupo yupo hana cha kimataifa wala kitaifa. Halafu mkumbuke huyu alianza game kabla ya marehemu what a coincidence[emoji23]
Iyo miaka 6 kabla ya diamond aliufikisha wapi mziki wetu,?Ali alikuwepo miaka 6 kabla ya ujio wa Diamond....sasa sijui nani anaetumia boost ya mwenzie
na sijasema anashindana na mtu ebu soma vzur bandiko langu au uelewa mdogoAli hashindani na mtu.
Mashabiki wake ndio wanamshindanisha na Diamond.
Kitu ambacho kipo ni ushindani kati ya Diamond na timu yake wakishindana na Mashabiki wa Ali.
Yeye Ali hana hata habari...anafanya muziki wake kama burudani na sio kama biashara.
wakati anauza albam ya cinderela kwa wahind kwa zaid ya M 300 wakati ule aliupataje??? tatizo ni yeye kua msiri mkuu ama?Teh teh bila boost ya diamond kuna MTU hapati mkate wake wa kila siku
Tatizo Elimu.na sijasema anashindana na mtu ebu soma vzur bandiko langu au uelewa mdogo
kama ni msili iyo million 300 nani alikwambiawakati anauza albam ya cinderela kwa wahind kwa zaid ya M 300 wakati ule aliupataje??? tatizo ni yeye kua msiri mkuu ama?
Tatizo Elimu.na sijasema anashindana na mtu ebu soma vzur bandiko langu au uelewa mdogo
humu ndani hatujuani,kama ni msili iyo million 300 nani alikwambia
Ndio hapo mnapojichanganya kutaka Ali awe kama Diamond.Iyo miaka 6 kabla ya diamond aliufikisha wapi mziki wetu,?
Wakati hata kutoa video kulikuwa kunamshinda
Baba levi kitambo sana nipm ndg kuna jambo nikushirikisheUkimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media.
Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda.Na mbaya zaidi hata hisia juu yako hana.
Utaumia sana.
Ndo Ali.Hata mashabiki wake wanampenda kuliko yeye anavyowapenda.Anachofanya ni kuwapa kile alichopewa na Mungu.
Sauti.
Watu wanadata naye.
Wakati watu wengi sana wakimsifia kwa sauti ambayo anayo yeye tu ktk dunia hii.
Kuna kitu wanakisahau.Ana tofauti sana katika tungo zake.
Sikiliza Mapenzi yana Run Dunia.
Anamuimbia mapenzi mwanaume mwenzake. Ngumu sana mwenye akili ya kisoda kuelewa ule wimbo.
Mchizi anamuimbia mchizi wake ngoma la mapenzi afu lina bamba mbaya.Hata R Kelly na wenzake akili hii waliikosa.
Dem kaenda kwa Ali kumshitakia ujinga wa bwanaake.Of coz watoto wa kike wanapenda faraja.
Ali akampa faraja.
Mchizi kugundua kaamua kumtosa mtoto.Mtoto kaamua kutangulia mbele ya haki.Alimpenda mchizi wake ila Ali alimpa faraja tu baada ya ushauri.Hata mimi ningemfariji kwa namna hiyo mtoto mzuri.
Kasikilize hilo ngoma ukiwa na akili timamu usichanganye na mawazo ya hali ya Wema Sepetu kwa sasa.Hutaelewa alichoandika Ali.
Kiba siyo wa nchi hii.
Kinachofanywa na computer yeye anakitoa kwenye koromeo lake.
Kuna sauti kutoka kooni kwake ni ya pekee kuliko upekee wenyewe.Hawezi kusema ila Diamond na wenzake hicho kitu kinawaumiza sana.
Ali hajui kujitangaza.Ndo maana hata gari anayotumia haijulikani.
Ali hajui kiki.Ndo maana huwezi kumsikia akiongelea issue zake na madem zake.Hajui kujiongeza ndo maana husikii ana nyumba au shilingi ngapi kwenye account zake za bank.
Na ni ngumu kumkuta news room za udaku. Vyote hivyo hana lakini bado anawaumiza kichwa kundi kubwa la watu.
Katikati ya magwiji wa hizi kazi.
Fella,Tale na wenzao.Sallam muweke kando hajui fitna za game hili.
Pamoja na lundo la hao watu Alibbado anasimama nao katika mstari mmoja.
Ogopa sana.
Heshimu.
Hana anachowaweza zaidi ya lile koo lake na akili ya kuandika kinachotakiwa kuandikwa.
Hapa siyo suala la team flan.Ukweli uko wazi kuwa kuna upinzani wa wazi na wa siri kati ya Kiba peke yake na Diamond na watu wake. Huwezi kusikia management ya Ali ikimuongelea Diamond.Ila ni rahisi zaidi kusikia management ya Diamond ikiongea jambo la Kiba.
Ndo ukweli.
Watu wanaomzunguka Diamond huwezi kushindana nao hata kwa nusu saa.Game la muziki liko vyumbani mwao.Linawatii kuliko askari wa Dar mbele ya Makonda.Lakini Ali kaendelea kuwepo kwenye kilele bila kutumia nguvu.Alichonacho Ali kwenye koo angekuwa nacho Diamond dunia ingesimama.
Ni kama Ronaldo angekuwa na kile alichonacho Messi katika miguu yake.
Mashabiki wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na Diamond mitandaoni,wakati Kiba anawauliza wadogo zake vilipo viatu vyake vya michezo akacheze football bondeni pale Jangwani.
Diamond anajituma sana na muziki wake.Ali anatufanya tuamini kuwa muziki ni burudani na ufanywe kiburudani.
Wakati soko la muziki likilazimishwa liwe na muziki unaochezeka.Ali alikuja na ngoma kama Mac Muga ambao hauchezeki na siyo wa mapenzi na alikuja na ngoma ya Mwana ambayo sio wa mapenzi wala sio club bagger.ukakamata vibaya sana.
Kasikilize Karim.
Utagundua kuwa Kiba ni zaidi ya biti na promo.
Imeandikwa na mkongwe Dr.Levy Baba ubaya
Kweli we ni mzaramo nilikua nasikia tuUkimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media.

Wazaramo siwawezi....itu vingine vinakuja automatically.
Huwezi kumkwepa Diamond halipo Ali.
Huwezi kumkwepa Ronaldo alipo Messi.
Huwezi kuikwepa Yanga ilipo Simba.
hii ni kwa mashabiki wa Ali wanaotaka awe kama Diamond.
We ni muelewa...naamini umenielewa.
uu vitu vingine vinakuja automatically huwezi kuvipinga....
Huwezi kumzungumzia Messi bila kumtaja Ronaldo.
Huwezi kuizungumzia Simba bila kuiweka Yanga.
Kikubwa Diamond alichomzidi Ali ni kutafuta Kiki peke yake kwa sababu Ali anafanya Muziki na Diamond anafanya biashara kwenye Muziki.
Kuna mtu kapost rolls royce ikiwa na plate number special et "timu ya msimbaz" na gari ipo abroad sio tz... Nkajiongeza kumbe hawa dabliu sii bii wanasafiri nje na plate numbermoja ya gari yake ni BMW X5