Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

Mtoto mzuri aliezaa na yule jamaa mwenye mahelaa akanacha na njaa kwenye mataa yeye akaniacha nalia na mola " Kiba ni motoo
 
tukiacha Unafki na kujitia ujinga na tukiamua kubishana kwa ushahidi kiba anasauti nzur sana yakuimbia.
Ila kiba sio muandishi mzur wa mashahili,kiba katika tunzi zake hana vina kama wenzie.kiba katika tenzi zake hawezi kuandika kitu kipya anaandika vitu tunavyovitarajia au vitu ambavyo tushavizoea na kama akijaribu kuweka kipya huwa anachemsha Mf wimbo wa CHEKECHA sijui ni nani alimpangia yale mashahili.
Tubishe tukatae kiba ni mzur akiandikiwa Mf Abdu kiba alivyomuandikia kiba zile beti mbili za kwenye kidela ni beti zangu nzuri kuwah kuziskia kutoka kwake.

Diamond anajua kuandika nyimbo.
Diamondi anajua kupangilia vina anajua hapa niweke hiki apa nisiweke hiki,Diamond anajibeba kwa vitu vingi sana na si kweli anabebwa na media No.ukiskiza nyimbo nyingi za diamond kila nyimbo inakuwa na kitu tofauti.


UKIONA CLOUDS WAMEANGAIKA KUMSHUSHA MSANII MPKA NA WAO WAKANYOOSHA MIKONO JUA HUYO MSANII SIO WA MCHEZO HATA THERUSI.
 
Mtoto mzuri aliezaa na yule jamaa mwenye mahelaa akanacha na njaa kwenye mataa yeye akaniacha nalia na mola " Kiba ni motoo

Zaidi ya motoooooo!
Kiba hana wa kufananishwa nae Tanzania nzima na Afrika Mashariki kiujumla.
 
Asa kama anafanya mziki burudani mbona unamfananisha na anafanya mziki biashara au sizitaki mbivu izi......mnalilia adi tunzo..!!

Wanavodai anafanya mziki for fun so nashangaa Sijui kinawauma nn domo anapofanya music as business
we Zari mbona uelewi.

Ali ashindani na mtu bali mashabiki wake ndio wanamshindanisha na watu wengine.

Ali alikuwa kishaamua kupuumzika kwenye Muziki....mashabiki wake ndio waliomlazimisha arudi.

alafu ile video yenu mbona aina Viewers za kutosha?!Au kule Vevo hakuna kununua?!
 
Kwa hiyo Ali anakufa njaa?!
 
Umemaliza kila kitu
 
Yataandikwa mengi lakini hawezi kuitwa AFCON!...2017 ndio mwisho wa kiba kutumia nyota ya diamond
Ahaaa Ahaaa mwaka 2018 utarudi hapa kusema tena hivi hivi.

Ali ndio kiboko ya Fella na Tale....kama angekuwa msanii mwingine mwepesi washamshusha siku nyingi tu.
 
Clouds was hushed Dimond?!

Mkuu hujui kuwa Ruge ni mmoja Kati ya mameneja wa Diamond?!
 

Mwisho wa siku kiba atakula sauti yake na Diamond atakula pesa zake. Kuna tatizo kwani?
 
Kuwa makini usije mponza mwenzio tuko kwenye vita kwa sasa!
 
Ahaaa Ahaaa mwaka 2018 utarudi hapa kusema tena hivi hivi.

Ali ndio kiboko ya Fella na Tale....kama angekuwa msanii mwingine mwepesi washamshusha siku nyingi tu.
Bahati nzuri vitu vya jf havifutiki,hiyo 2018 isijekuwa ukahamia team hamorapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…