Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

Mac Muga... my favorite track in my daily play list.

Huwa sichoki kuisikiliza hiyo ngoma, and I always do learn the contents... vijana tunapotusua kimaisha tusibugi na kujisahau kuwa kuna kesho.

'Mac Muga' ... bonge la pini of all my time from Kiba.

Long live Ali Kiba.

-Kaveli-
 
Huyu jamaa n mtu wa watu week iliyo pita alikuja kitaan kwetu kucheza mechi bana

Hakuna super star anayejichanganya uswahilin bila board guard ila yeye pekee yake 2

Jamaa anajua huyu!!! Co muziki 2 hata mpira!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshachukua zako unasifia vitu vya kijinga. bila Diamond "koo lake na akili ya kuandika kinachotakiwa kuandikwa" lingekauka kau. Kiba ni mnufaika mkubwa sana wa Kick za WCB na za kwake mwenyewe. Ndio sbb hata akikaa kimya, The more WCB makes it, indirectly affects Kiba's success. Wanaume wanahustle hard, yy anateleza tu (mtelemko), mara sitaki kick, mm mkubwa kuliko tuzo, mara Wizkid kanipokonya tuzo, mara nakuja na bidhaa yangu ... Hahahaaaaaaa huyo ndo Kiba "sitaki nataka bwana"
 
Unataka kusema hizo zote ni kick??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwepo miaka 8 kabla ya kuja kwa Wcb sasa unaposema anawategemea Wcb jamii haiwezi kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…