Dr LWAITAMA asisitiza muundo wa serikali 3...!

Somo la uraia darasa la sita tulifundishwa kura ni siri.hao wanaweweseka tu.
 
R.I.P Dr. Sengondo Mvungi Tanzanians will miss you forever as far as C.A is concerned.
 
Akaunde serikali tatu kwao bukoba, hatutakubali serikali tatu, hiyo itakua mwisho wa muungano.
 
Safi sana Dr Lwaitama, swali ni kwamba kwa nini CCm wanang'ang'ania serikali mbili? napata mashaka kama kweli ni wazalendo! Tanganyika nakupenda kwa moyo moja! japo kuwa sikukuta.
 
Akaunde serikali tatu kwao bukoba, hatutakubali serikali tatu, hiyo itakua mwisho wa muungano.

miungano huanzishwa na miungano huvunjika
iko wapi USSR. kapime usikute unaumwa ugonjwa hatari wa ccm.

ugonjwa wa ccm huharibu ubongo kwa kasi ya ajabu, usipopata tiba mapema unaweza ku run mental, chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…