Dr. Lwaitama: Sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo

Alipigwa marufulu kupanda ndege ya precission air huyo .Alishushwa kwenye ndege na polisi na kupigwa ban .Mtanzania wa kwanza toka Tanzania iwepo kushusha kwenye ndege na kupigwa ban kw ukorofi ndani ya ndege
Tumia basi akili kidogo, sema sababu za kupigwa ban hapa

Nyie ndo mnasema tuongee kiswahil na mkuu wenu haendi hata nje ya nchi kukwepa kuongea king'eng'e

Dr. Lwaitama alipigwa ban baada ya kukaa siti ambayo kwa maelezo yao anayekaa pale anapaswa kuongea Kingereza wakat yy Dr aligoma kutumia hyo lugha kwa madai kuwa yupo Tanzania na Kiswahil ndiyo lugha ya taifa,

Sasa nyie kila siku mnasema mabeberu mabeberu ila mnampinga tena Dr. Lwaitama kwa kupinga kutumia lugha ya kibeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kha Mkuu naona umempa vidonge vyake, hizo ni za uso-watu wanataka kutetea visivyo tetewa: shiada kabisa.
 
Hoja yangu ya msingi ni ile ya maendeleo ya vitu viende sambamba na maendeleo ya watu na uongozi bora ambavyo yeye anaona vimekosekana jambo ambalo mwal. Nyerere aliwahi kulisema enzi zake kwenye jukwaa la CCM likakubalika lakini hayohayo kwenye jukwaa la Chadema halikubaliki! Rejea Dr. Slaa akigombea urais aliahidi elimu bure wanaccm walisema haitawezekana lakini haohao amesema Dr Magufuli wanaunga mkono inawezekana!
 
Haka kazee kana sisimizi kichwani badala ya ubongo, huwa kanaongea pointless kila speech zake, ni sawa na yule mwenye midevu myeupeeee alioa juzi akiwa na muaka 75+ ametumia umri wake wioote kusoma shule

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes ni bora mtu upite hivi bila Ku comment. Unajidhalilisha na kuonyesha ni namna gani ulivyo mweupe kichwani. Wenye uelewa wanamkubali saaana.
 
Kakwambia alikuwa TANU, pia ni mwanazuoni (retired senior lecturer (PhD), UDSM), sasa usichoelewa ni nini?
Kwaiyo kuwa Au mwanazuoni ni justification ya kuwa lulu ya Taifa..hopeless!!
 
 
Senile
 
Wewe sasa unaleta hoja zako na definition zako tofauti na yale ambayo yaliyoongelewa na Lwaitama.

Anachozungumzia yeye philosophical choices za polities kati ya utawala wa dizaini ya Oligarchy/kikoloni fulani ambapo watu wachache wanaamua nini cha kufanya kwa niaba yenu kwa sababu wanadhani ndio sahihi.

As opposed to democratic ways ambazo watu wanakaa wanaamua nini kifanywe kwa sababu ndio wanachotaka kwa umoja wao.

Anaiona CCM kama cha Oligarchies ambao wanadhani wanajua nini watanzania wanatakiwa kupewa kwa sababu wengi awajui kipi ni bora na chenye manufaa kwao ina maana wananchi sio watu huru kwa mtazamo wake kwa sababu wanacholetewa ni matakwa ya wachache sio yao.

For more on that read Plato, hayo mengine yako wewe.
 
Alipigwa marufulu kupanda ndege ya precission air huyo .Alishushwa kwenye ndege na polisi na kupigwa ban .Mtanzania wa kwanza toka Tanzania iwepo kushusha kwenye ndege na kupigwa ban kw ukorofi ndani ya ndege
Hahaha hiyo sikuijua, kumbe ndicho ulikuwa ukutaka tuseme?!
Asante kwa taarifa.
 
CCM imeishiwa pumzi ya kisiasa na sasa kauli mbiu ya Maendeleo na Demokrasia ya CHADEMA itabebwa rasmi kupelekwa kwa wananchi kuelekea 2020.

Sasa hivi CHADEMA na sera zake zinaeleweka vizuri zaidi na hivyo kama chama tumekuwa imara zaidi na ushawishi mkubwa kwa waTanzania baada ya wao (wananchi) kuishi /kupitia kipindi kigumu ktk miaka minne ya utawala wa awamu ya tano ambapo Maendeleo ya watu yamepuuzwa na demokrasia kubinywa.

Source: Mwanahalisi TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…