Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Ni ujinga na wehu kuamini candidate wa CCM John Pombe Magufuli anaweza kushinda uchaguzi mkuu Octoba.
Nasema haya ukizingatia Magufuli huyu huyu jimboni kwake Chato pamoja na kuwa mzaliwa na kuliongoza kwa miaka 20
Bado kwenye uchaguzi wa serekali za mtaa na vitongoji John huyu huyu alipigwa chini vibaya na wapinzani.
So tunavyotumia lugha laini kuwa Magufuli si kitu kwa Ukawa lazima Ccm wakubali waliteleza kumpendekeza.
Yapo mambo yaliyojificha mtu anaweza kuyabishia,Lakini si mambo yapo wazi kama hili na Magufuli kwenda kudodokea pua mbele ya candidate wa UKAWA "Na mfano mdogo tu ndio huo na upo wazi"