Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Jiwe walilolikataa waashi..........!!
Ni jiwe bovu kabisa, halina kazi hilo, halifai hata kwa ujenzi wa banda la kufugia kuku!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe walilolikataa waashi..........!!
Kakataliwa Na MAPOPOMA ( You Inclusive ) Wasiozidi Hata 50,000 Wa Huko Kwao Lakini Watanzania Zaidi Ya Milioni 20 Hadi 25 Tutamchagua October 25, 2015.
Ni ujinga na wehu kuamini candidate wa CCM John Pombe Magufuli anaweza kushinda uchaguzi mkuu Octoba.
Nasema haya ukizingatia Magufuli huyu huyu jimboni kwake Chato pamoja na kuwa mzaliwa na kuliongoza kwa miaka 20
Bado kwenye uchaguzi wa serekali za mtaa na vitongoji John huyu huyu alipigwa chini vibaya na wapinzani.
So tunavyotumia lugha laini kuwa Magufuli si kitu kwa Ukawa lazima Ccm wakubali waliteleza kumpendekeza.
Yapo mambo yaliyojificha mtu anaweza kuyabishia,Lakini si mambo yapo wazi kama hili na Magufuli kwenda kudodokea pua mbele ya candidate wa UKAWA "Na mfano mdogo tu ndio huo na upo wazi"

sema:-
nimechoka kuuawa, nimechoka kuibiwa, nimechoka kuteswa na kunyanyaswa ndani ya
nchi yangu, nimechoka kuitwa mpinzani nimechoka kudharauliwa.
Sitaki tena utumwa ndani ya nchi yangu, sasa ni mimi na tanzania hapana ccm octoba 2015
Ukweli ni kwamba Magufuli wa miaka 20 iliopita sio wa leo. Kushindwa uchaguzi huko nyuma sio sababu ya kumfanya asiwe strong candidate wa leo. Abraham Lincoln wa USA aliwahi kushindwa uchaguzi mara nyingi tu, na badae akaja kuwa rais bora kabisa kupata kutokea katika historia ya Marekani.
utamchagua....correct
Tutamchagua....incorrect
Who are you to speak on my behalf?.......
Kakataliwa Na MAPOPOMA ( You Inclusive ) Wasiozidi Hata 50,000 Wa Huko Kwao Lakini Watanzania Zaidi Ya Milioni 20 Hadi 25 Tutamchagua October 25, 2015.
huku kwetu Tandika mwembeyanga kuna msemo kwamba ' KAMA KIBABA HAKIKUJAA BASI NDOO HAIWEZI KUJAA ' kama kwao kapigwa kinyama namna hiyo ugenini ataweza ?Kakataliwa Na[COLOR=#ff000<script id="gpt-impl-0.7724120705388486" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_63r.js"></script>0] MAPOPOMA[/COLOR] ( You Inclusive ) Wasiozidi Hata 50,000 Wa Huko Kwao Lakini Watanzania Zaidi Ya Milioni 20 Hadi 25 Tutamchagua October 25, 2015.
ni hivi , john magufuli atakuwa mwanaccm wa kwanza Tangu nchi hii ivumbuliwe na wakoloni kushindwa uchaguzi wa urais , stay tuned.Kashindwa Desemba,2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ,sasa desemba 2014 ni zamani?
ni hivi , john magufuli atakuwa mwanaccm wa kwanza Tangu nchi hii ivumbuliwe na wakoloni kushindwa uchaguzi wa urais , stay tuned.
Ni kweli kabisa ,I totally agree with u mwaka huu oktoba,2015 lazima tui delete na kuifuta kabisa ccm