Elections 2015 Dr Magufuli Alishindwa Jimboni CHATO, Urais Hawezi Kabisa

We kaa fikiria hivyo ila nani hataki taisi atoke kwao? Kushindwa uchaguzi mdogo mdogo kama ilikuwa hivyo haijalishi. Muhimu raisi atatoka huko hata kama mie ningekuwa wa huko ningempa kura yangu tu bila wasi.
 
Haya baba wa Taifa aliwahi kuwa chini ya mbunge Paul Ndobho, 1995 musoma vijijini, ilipo Butiama
 

Kwa hiyo wewe ndo mwerevu hadi unaita wenzako wajinga na wehu?
 
Our Next president 2015~2025
 

Attachments

  • 1436893280413.jpg
    69.4 KB · Views: 185
Ukweli ni kwamba Magufuli wa miaka 20 iliopita sio wa leo. Kushindwa uchaguzi huko nyuma sio sababu ya kumfanya asiwe strong candidate wa leo. Abraham Lincoln wa USA aliwahi kushindwa uchaguzi mara nyingi tu, na badae akaja kuwa rais bora kabisa kupata kutokea katika historia ya Marekani.
 
Niko naangalia Azam Tv hapa wanaripoti Lipumba kasepa hayupo kwenye kikao na Sakaya anasema Ukawa wanaelekea kukwama ndo maana hari imekuwa tete ..anasema yameibuka mambo mengi sana ndani ya Ukawa.
 
Kakataliwa Na MAPOPOMA ( You Inclusive ) Wasiozidi Hata 50,000 Wa Huko Kwao Lakini Watanzania Zaidi Ya Milioni 20 Hadi 25 Tutamchagua October 25, 2015.

Hii courage ya kuzungumzia mil 20 na zaidi unai5pata wapi? Tatizo letu sisi ni mfumo na sio mtu. CCM kwa mfumo wao hata wangeleta malaika kupigwa kupo palepale. Subiri kampaini zianze 22/8 ndipo utwatambua ukawa rangi yao.
 

Ok, Sasa wewe jimbo LAKO UMELIFANYIA NINI katika miaka 10 hii zaidi ku-comment ovyo ovyo hapa!
 

Na siku akishinda wewe ndo utaonekana ni mjinga
 
sema:-
nimechoka kuuawa, nimechoka kuibiwa, nimechoka kuteswa na kunyanyaswa ndani ya
nchi yangu, nimechoka kuitwa mpinzani nimechoka kudharauliwa.

Sitaki tena utumwa ndani ya nchi yangu, sasa ni mimi na tanzania hapana ccm
octoba 2015


Saaafi ,futa delete kabisa ccm Oktoba, 2015
 

Kashindwa Desemba,2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ,sasa desemba 2014 ni zamani?
 
Kakataliwa Na MAPOPOMA ( You Inclusive ) Wasiozidi Hata 50,000 Wa Huko Kwao Lakini Watanzania Zaidi Ya Milioni 20 Hadi 25 Tutamchagua October 25, 2015.

wapiga kura wanakadiriwa kuwa milioni 12 so milioni 20 unakuwa mbali sana
 
huku kwetu Tandika mwembeyanga kuna msemo kwamba ' KAMA KIBABA HAKIKUJAA BASI NDOO HAIWEZI KUJAA ' kama kwao kapigwa kinyama namna hiyo ugenini ataweza ?
 
Kashindwa Desemba,2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ,sasa desemba 2014 ni zamani?
ni hivi , john magufuli atakuwa mwanaccm wa kwanza Tangu nchi hii ivumbuliwe na wakoloni kushindwa uchaguzi wa urais , stay tuned.
 
ni hivi , john magufuli atakuwa mwanaccm wa kwanza Tangu nchi hii ivumbuliwe na wakoloni kushindwa uchaguzi wa urais , stay tuned.

Ni kweli kabisa ,I totally agree with u mwaka huu oktoba,2015 lazima tui delete na kuifuta kabisa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…