Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona. Dr. Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi mishahara umezuia isipande Mungu anakuona.
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona. Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.
 
Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona
Dr Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi Mishahara umezuaia isipande Mungu anakuona
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona
Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe Kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.........
Alafu hapo hapo anakwambia yeye ni rais wa wanyonge
 
Pamoja na bana matumizi yote bado tu fedha hakuna kijana... Mfano mzuri maafa ya kagera.. .....badala ya kuendelea kusubiria ajira anza kujipanga tu uzee usije kukufika ukisubiria ajira.
 
Msema kwel ni mpenzi wa Mungu , kumbe mwez 2 bado
Mungu anakuona
 
Ndio Mungu anamuona pia kwa utendaji wake mzuri
 
Back
Top Bottom