Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Ati Mungu anamuona,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,anafukuza umaskini kwa kutowapa akna sisi AJIRA,,,,,,,,,,
 
naona unamshitakia kwa Mungu,yeye alikuwa anataka tumuombee siyo umshitake kwa Baba Muumba.
Sijamshitaki ila nimesema anamuona hatujasema Mungu amshughulikie kwa vile bado tunamhitaji sema tu tunsmkumbusha tu Ahadi zake haikuwa kuzuia Mishahara bali kuongeza na kuboresha mazingira ya kazi....
 
Endelea kusubiri kuajiriwa kisha tafuta mchawi wako!! Akili za masaburini hizi. Wewe umesoma unalalamika, ulienda shuleni kufanya nini sasa kama sio kupoteza resources tu, ambaye hajasoma nae asemaje??
teh "masaburini"
 
*MUNGU ANAWAONA*

Kuna Meseji, zinaandikwa siku hizi na naona zinazidi kupata umaarufu sana.

Mwishoni wanaandikaa
*'''MUNGU ANAWAONA '''.*

Hizi meseji zimelifanya kama Jina la MUNGU kuwa kitu ambacho unaweza ukakitumia kwenye *Upuuzi na mzaha wowote*

Msingi wa MUNGU ulio Imara....Unasema

_*"Usilitaje Bure Jina la BWANA, Mungu wako,maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu yule alitajaye jina lake Bure."*_
_Kutoka 20;7_

Jina la Mungu ni takatifu sana sijui kwa nini tumeamua kulifanya kuwa la kawaida kiasi hiki kiasi kwamba tunalitaja hovyo hovyo.

Unaweza Usiwe mwandikaji, lakini Kuishare kwako.
Kutakuingiza Kwenye shida ya Kukubaliana na Kushirikiana na mwandishi katika dhambi hiyo.

Ni nani ajuaye hali ya Kiroho ya wanaoandika meseji hizo? pengine hata hawamjui Mungu, lakini wewe unaesoma ujumbe huu tafakari kwa kina juu ya ujumbe huu.

*MUNGU AKUBARIKI SANA*
Amen
 
Chadema kutoka kuwa chama kimbilio la wanyonge hadi kuwa chama cha kuombea mabaya Tanzania.

Ama kweli gia zilibadilishwa angani
 
Usilitaje bure jina la MUNGU wako
Mwacheni jpm afanye kazi
 
Endeleeni kumuombea. Mimi nasali na kufunga mara tatu kwa wiki.
 
Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona. Dr. Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi mishahara umezuia isipande Mungu anakuona.
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona. Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.
Tangu tumeanza kuisoma namba tushafika namba 1999
 
uchumi uko vizuri kasema gavana wa benki kuu mbona nyie binadamu wabishi sana? agh,mlizoea maisha ya misheni town
 
Vihela vyetu vilivyopo mifuko ya jamii anavitaka vikajenge viwanda wakati kodi tunalipa na maisha ya watumishi mabovu, Mungu anakuona
 
Back
Top Bottom