Alafu hapo hapo anakwambia yeye ni rais wa wanyongeVijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona
Dr Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi Mishahara umezuaia isipande Mungu anakuona
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona
Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe Kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.........
Huu usemi siku hizi unatumika tu....wanadhani Mungu anapangiwa namna ya kuhukumuItakuwa Mungu anamuona kwa jicho la kimungu..si la style yako
Wa kuwapa buku7 per dayNdio Mungu anamuona pia kwa utendaji wake mzuri
NdioWa kuwapa buku7 per day