Matapeli wote hao.Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeeeπ€£π€£π€£π€£
Eheee ndiyo huyo huyo ,amekutana na TAPELI mwenzake wanaharibiana tu mitandaoni.Manyaunyau yule wa mazingaombwe kipindi hicho dar nzima matangazo ni Dr manyaunyau alikuwa anakunywa damu ya pakaπ€£π€£
habari za hapo dasalamaImenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeeeπ€£π€£π€£π€£
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeeeπ€£π€£π€£π€£
Wote wale ni wasanii wa ccmImenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeeeπ€£π€£π€£π€£
Manyaunyau hata ushirikina hana yule, ni muongo muongo tuuUshirikina ni uongo na ujinga mtupu. And yet, kuna watu wanautumia kama nguzo za kuongoza maisha yao. Kama nguzo hata za kutuongoza watanzania wenzao.
Wameishiwa na kukosa maarifa. Sadaka za kishirikina hazina nguvu wala maajabu ya kumsaidia mtu anayezitoa. Zinamfunga kwa viapo na matambiko yake, kiroho, kiakili na hata kimwili.
Angalie wenyewe muone....wanaokimbiq vivuli vyao wenyewe sababu ya kuwaamini waganga na wapiga ramli.