Dr manyaunyau ameishiwa maajabu aliyokuwa nayo?

Ven26

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
1,071
Reaction score
2,279
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeee🤣🤣🤣🤣
 
Matapeli wote hao.
 
Stori imeishia hapo au inaendelea?
 
Manyaunyau yule wa mazingaombwe kipindi hicho dar nzima matangazo ni Dr manyaunyau alikuwa anakunywa damu ya paka🤣🤣
Eheee ndiyo huyo huyo ,amekutana na TAPELI mwenzake wanaharibiana tu mitandaoni.
 
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeee🤣🤣🤣🤣
habari za hapo dasalama
 
Ukute hata hakukuwa na ugomvi wowote hapo walikuwa wanatafuta kiki tu huoni mmeanza kuwaongelea....
 
hajawai kuwa na maajabu.

alikuwa anatapeli wajinga kwa ujanja ujanja... alishafungwa mpaka jela kwa utapeli
 
Imenishangaza kuona ule ugomvi wa mganga maarufu wa miaka hiyo nani hakumfahamu Dr Manyaunyau? Akipigwa na mganga mwenzie mabanzi ya kutosha huku akitishiwa kubutuliwa na risasi pia wakiwa msibani kwa msanii Carina.
Nimebaki najiuliza hivi yale mazingaombwe yake ya kuchezesha sijui jini nani akampeperusha mgomvi wake hukooo kama kipepeo yalienda wapi pyeeee🤣🤣🤣🤣

Ushirikina ni uongo na ujinga mtupu. And yet, kuna watu wanautumia kama nguzo za kuongoza maisha yao. Kama nguzo hata za kutuongoza watanzania wenzao.
Wameishiwa na kukosa maarifa. Sadaka za kishirikina hazina nguvu wala maajabu ya kumsaidia mtu anayezitoa. Zinamfunga kwa viapo na matambiko yake, kiroho, kiakili na hata kimwili.

Angalie wenyewe muone....wanaokimbiq vivuli vyao wenyewe sababu ya kuwaamini waganga na wapiga ramli.
 
Wote wale ni wasanii wa ccm
 
Manyaunyau hata ushirikina hana yule, ni muongo muongo tuu
 
Kile kipindi umaarufu ni kweli aliupata
 
images (51).jpeg
 
Back
Top Bottom