Dr. Mbuyiseni Ndlozi: Who Gave You Power Mama Samia?


GHARAMA YA DAMU YA 29 OKTOBA 2025

Kwa Samia Hassan kuamua kukacha mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa 46 wa SADC, Tanzania sasa haijulikani ipo EAC au SADC. Tajiri Aliko Dangote atambua laana iliyobebwa na serikali haramu itasababisha kuwa ngumu sana kwa mwekezaji yoyote kukubali kuwekeza mradi wenye uhitaji wa mtaji mkubwa uwe wa kiwanda cha kusafisha mafuta au ujenzi wa miundo mbinu kuifanya Tanzania kuwa kitovj cha kikanda cha ugavi, usafirishaji, lojistic, bandari kushindikana

The $16 Billion Railway Network Corridor That Could Make Zimbabwe The Richest Nation In Southern Africa


View: https://m.youtube.com/watch?v=BFEZScDTgHg
 
DR.Ndolzi,why did you support your youth to kill ,rape and chase away your fellow Africans from Nigeria,Kenya,Ghana etc?
 
'K' mkubwa huyu. Yaani akitaka watu waachwe tu waliangamize taifa Huku wakichekewa?!!! Mamamamae zake kweli huyo shoga.
 
Kipindi cha Benjamin William Mkapa pia waliuwawa wavunja Sheria wengi tu .👈
Hivyo unakiri wazi kabisa serikali ndio iliyohusika na mauaji makubwa ya kutisha kuwai kutokea katika historia ya afrika Oct 29..???
 
Anaacha kuja na solution ya kutatua tatizo la ukosefu wa ajira huko South Afrika linalopelekea watu milioni 19 kuishi kwa kutegemea huruma ya serikali.

Anakuja kuuliza uhalali wa serikali inayotokana na uchaguzi ulioshirikisha vyama vyote vilivyotaka kushiriki.
 
Around 2005-2008 kuna nyimbo Ya rapper wa marekani Nas Escobar, nilikua naisikiliza kila siku,inaitwa I GAVE YOU POWER..

Nas ana rap about the perspective of the gun itself(using first person)

Bunduki inajisifia kiasi gani imempa mwanadamu nguvu,ability to intimidate people.,Violence, kuweka madarakani viongozi,mapinduzi,Kulinda viongozi.

So kujibu swali la Dr Mbuyiseni

' Who Gave You Power Mama Samia??

Ni bunduki doctor,it's a gun iliyompa Samia Power..

Fun thing ni kwamba Bunduki ni metaphor for political power..

Now you got your answer Doctor
 
Mambo ya Tanzania wao yanawausu nini

Mbona Mu7 Kagame hakuna Demokrasia yoyote kwenye yale Mataifa lkn Wapinzani wamekaa kimya🫎🫎

kwanini iwe Tanzania tu✍️
Watu kutekwa na kuuawa huwa haina mipaka. Nafikiri Dr. Ndlozi analalamika jinsi uchaguzi ulivyofanyika wananchi wakiwa wanauliwa na wengine hawajulikani. Sisi hali ilikuwa mbaya
 
Si ndio wamerudishwa wahamiaji haramu nyumbani ili nafasi zibaki kwa SA
 
Si ndio wamerudishwa wahamiaji haramu nyumbani ili nafasi zibaki kwa SA
Bado uchumi umeharibika hizo kazi zilizokuwa zinafanywa na wahamiaji hao wazawa hawawezi zifanya.
 
U should relay on the opinion above, don't tolerate some phony shit!!
 
U should relay on the opinion above, don't tolerate some phony shit!!
You are very right gentleman,
Dr. Ndlozi is coward enough,

he mobilize young South African to kill innocent Non South African, and chase away all Africans back to their home countries, yet he come out and claim that he loves Tanzanians?

this is high level of hypocrisy ever within EFF circle and chadema at a large 🐒
 
Bado uchumi umeharibika hizo kazi zilizokuwa zinafanywa na wahamiaji hao wazawa hawawezi zifanya.
Hoja yako hii ni dhaifu sana... kwa hiyo waafrika wengine ndio wana uchungu na SA kuliko wenyeji wenyewe? Si imekuwa ni advantage kufukuzwa ili waje kuendeleza chumi za nyumbani kwao. Kama hutakiwi nchini kwa wenyewe rudi kwako uendeleze nchi yako iwe viwango vikubwa. Wasauzi wameshakataa hawataki wahamiaji haramu mbona mnawangangania? Sisi tanzania kila siku tunawafurusha wahabeshi, mbona hawalalamiki?
 
According to the dear doctor,who gives power in Tanzania?
 
Samia kachafuka sana, hawezi kusafishika bila kwenda ICC The Hague kujitetea usafi wake
Umechafuka wewe kupitia uwelewa wako

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni msafi km sufi nyeupe
Wanaochafuka wapo Lupango kuosha Machoo ya Vibaka✍️

24 August 2026
High Court of Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania

TUNDU LISSU AIAMBIA MAHAKAMA KUU JINSI TAASISI NA JUMUIYA ZA KIKANDA NA KIMATAIFA ZINAVYOONA YANAYOENDELEA TANZANIA CHINI YA UTAWALA WA SAMIA HASSAN :

View: https://m.youtube.com/watch?v=y4uSuQA4XAESADC
EU
UNHuman Rights Commission
EALA
PALU
Zambia law society
Uganda law society
Kenya law society
TLS
COMMONWEALTH
ICJ
AMNESTY
DUA
ADPAD 17 Countries
AU CPHR Arusha
Rais mstaafu Jenerali Khama

Wote hapo juu niliowataja kwa uchache hapo juu wanaiona kesi hii ni ya kisiasa na siyo ya uhaini mwenyekiti Tundu Lissu anafungua utetezi wake leo 24 Agosti 2026
 
PALU
Zambia law society
Uganda law society
Kenya law society
TLS
COMMONWEALTH
ICJ
AMNESTY
DUA
ADPAD 17 Countries
AU CPHR Arusha
Rais mstaafu Jenerali Khama
Juhudi zote hizi kutoka kwa wapenda haki ndani ya nchi, na hawa wabia wa haki wa bunge la senati la US, bunge la MEP EU, Sweden, Germany, Pan Anfrican Lawyers Union PALU, SADC, Office of The Prosecutor ICC, International Court Belgium lazima wanakwenda ICC The Hague wahalifu hawa wa serikali ya chama dola kongwe

 
CHAMA DOLA KONGWE CCM kimeiletea taifa la Tanzania aibu kuu mbele ya ulimwengu uliokuwa unaitaza Tanzania kama nchi mfano wa kuigwa kwa utawala bora na haki za kibinadamu na za kiraia kabla sifa hii haijavurugwa na Samia Hassan na genge la wahalifu wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…