Dr.Milton Mahanga afungua kesi dhidi ya Msemakweli

Nadhani labda kesi hii ina mengi zaidi ya yaliyoripotiwa hapa, kama ni haya tu basi Mahanga awe makini sana kwani anaweza kuwa anapanda slippery slope.

Kidonda kimedondoshewa maji ya betri,kitapona tu....hata kama maumivu ni makali.
 
Wajaluo wengi ni decent people,hawana utapeli kama huyu bwana na ndugu yake wa EALA.
Msemakweli ni tough,ameamua ku fight! Wanaweza kuiibia serikali,lakini huwezi ukaiba elimu watu wa kakuacha!Hata uwe NEC ya CCM
 
Mimi nilidhani inahusiana na kile kitabu cha Msemakweli, kumbe ni hiyo Press Conference! Naona ataendelea kujiabisha tu!
 
Mimi nilidhani inahusiana na kile kitabu cha Msemakweli, kumbe ni hiyo Press Conference! Naona ataendelea kujiabisha tu!

Unajua ndio maana nakubalia na mtu alisema inawezekana hii kesi ikawa ya kuchukua muda ili mambo yaendelee uchaguzi ukiisha jamaa anaondoa kesi yake mahakamani
 
Unajua ndio maana nakubalia na mtu alisema inawezekana hii kesi ikawa ya kuchukua muda ili mambo yaendelee uchaguzi ukiisha jamaa anaondoa kesi yake mahakamani

Hivi kama akiondoa kesi atakuwa amesafisha cheti chake au ndiyo atakuwa amechafuka zaidi anachotakiwa kama ameamua kuyavulia nguo mahakamani lazima ayaoge aangalie asijekimbia bila nguo
 
Hii kesi naona inakuwa more interesting kwa kuwa kuna mengi ambayo yanaweza kujitokeza.

Mimi si mwana sheria ama mtaalam wa sheria, lakini nina querries chache:

Kwa hiyo Mheshimiwa wetu alijijengea reputation kwa jamii yake kwa kuwa na degree kutoka kwenye chuo kikuu/taasisi fake? Kama taasisi inayotoa PhD hiyo ni fake, basi hata cheti chake nacho ni fake pia. Unawezaje kujenga reputation based on a fake PhD?

Mtu anaweza kudai damages pale ambapo mwajiri/watu/jamii/wapiga kura wake wamekosa imani naye na hivyo anaelekea kupoteza ubunge/kazi aliyokuwa ameipata kwa kutumia hiyo PhD yake.

Hapa tunarudi kwenye hoja ya msingi, je, hiyo PhD aliichukua kwa malengo gani?

Was it for political reasons ili aweze kuwakoga wapiga kura wake kwamba ni msomi aliyebobea na hivyo ana qualify kuwa Mbunge wao? Ama kumvutia JK ili aweze kumpa nafasi ya Uwaziri/Naibu Waziri?

Anaweza kuzi-quantify hizo damages anazozidai?
 
Mimi nilidhani inahusiana na kile kitabu cha Msemakweli, kumbe ni hiyo Press Conference! Naona ataendelea kujiabisha tu!

Duh!
SMU, hata mie nilikuwa na wazo hilo hilo, kwamba jamaa analalamikia chapisho la Msemakweli, kumbe analalamikia mkutano na waandishi wa habari!
Kaaazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…