johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.
Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.
Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa.
Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?
Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.
Mungu ni mwema wakati wote!