#COVID19 Dr Mollel anapita katika vituo vya televisheni kuhamasisha Chanjo za Corona lakini yeye havai Barakoa kabisa!

Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.

Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.

Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa.

Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?

Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.

Mungu ni mwema wakati wote!
Amekaaga kama hamnazo
 
Haaaa Waziri wa SEREKALE!

Nimemuona akigombana na Juliet.Mollel yuko faster hadi anamuzuia asubiri.

Ukaaji wake akiwa anatazamwa na watu mbalimbali sio wa heshima kabisa.
Kwanza huyu alitakiwa akamatwe anyooshe maelezo kwa nini wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita alimuombea Magufuli apewe Corona. Halafu jamaa yuko dizaini mwezi mchanga au alipata degedege udogoni.
 
Viongozi wetu wametokana na sisi wananchi jinsi tulivyo,sisi tukibadilika tutaweka viongozi makini,makapi yatajitenga yenyewe.

Viongozi au majizi ya kura? Wangekuwa wamechaguliwa na wananchi ndio ungeweza kusema ni taswira yetu.
 
Nikikumbuka alivyomkosoa Fr Kitima, Katibu Mkuu wa TEC alipotaja idadi ya mapadri na watawa waliopata Covid-19 na baadhi yao kufariki dunia na watu wengine walivyoibuka kumshambulia Fr na leo alichokisema napata picha tofauti.

Yaani nikiwaangalia viongozi wanaotokeza mbele ya hadhara kuhamasisha watu kwenye hii chanjo, huku msimamo wao kipindi cha Magufuli ukiwa tofauti kabisa na huu napata kinyaa. Hapa ndio najua ni kwa kiwango gani tunaongozwa na viongozi wapinga na wapigania tumbo.
 
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.

Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.

Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa.

Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?

Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.

Mungu ni mwema wakati wote!

Huenda alishadundwa chanjo ndiomana akalipuuza libarakoa
 
@johnthebaptist wewe unajitambua na una hofu ya Mungu.
Kwa nini unaendelea kuwepo kwenye chama cha kishetani!!??
 
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.

Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.

Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa.

Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?

Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.

Mungu ni mwema wakati wote!
KAMA CHANJO NI HIARI KWANINI NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAMASISHA?
 
Dr Mollel enzi zile akipinga kutoa data za corona!!
Anasema kabisa kuwa, waziri kusimama mbela ya tv na kutoa data za wagonjwa ni ujinga! Sasa hivi Boss wake waziri wa afya Dr Gwajima alishaanza kutoa data za wagonjwa wa corona hadharani! Maana yake waziri ndk mjinga kwa tafasiri ya naibu waziri wa afya! Sijui wakisjkiliza hizi clip wanajisikiaje!

Na Dr Gwajima huyu hapa akimwaga ujinga ( kwa mujibu wa Dr Mollel), kwa kutoa data za wagonjwa wa corona!

'
20210731_155359.jpg
 
Jinga hili,hivi nchi hii lini tutapata wasomi wanaojielewa,huyu si alikuwa anachakata malimau na tangawizi
 
Jana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.

Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.

Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa.

Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?

Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.

Mungu ni mwema wakati wote!
Naibu waziri mda wote ,anauzuni sijui ana tatizo gani, Mungu anajua Sana watu aina ya naibu waziri wakipata stress kidogo inakua mapema Sana kujinyonga,

Kuna kitu kina msumbua moyoni mwake Sio bure, msimseme Sana, mzee binafsi namuonaga Kama vile hayuko sawa
 
Back
Top Bottom