johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Anakaa utadhani yuko Pub!Haaaa Waziri wa SEREKALE!
Nimemuona akigombana na Juliet.Mollel yuko faster hadi anamuzuia asubiri.
Ukaaji wake akiwa anatazamwa na watu mbalimbali sio wa heshima kabisa.
Pub kuna heshima,Sema anakaa utadhani mpiga debe wakuuza ugoloHahahaaaa...... Anakaa utadhani yuko Pub!
Hahahaaaa.......!Pub kuna heshima,Sema anakaa utadhani mpiga debe wakuuza ugolo
TBC na ITV walikuwa wanamblock akianza upambe,anatoka nje ya mada anaanza Mama yeyo katupatia hela ya ndama kila kituo cha afya"SEREKALE"Huyu jamaa zake ni upambe tu kila kona taaluma yake ya u- Dr. Haijui nafikiri ni one of the exam forgerors. He is a Doctorial rubbish!
Bwashee kuwaelewa wanasiasa yahitajika umakini mkubwa!Nikikumbuka alivyomkosoa Fr Kitima, Katibu Mkuu wa TEC alipotaja idadi ya mapadri na watawa waliopata Covid-19 na baadhi yao kufariki dunia na watu wengine walivyoibuka kumshambulia Fr na leo alichokisema napata picha tofauti.
Alimshambulia,hakumkosoaNikikumbuka alivyomkosoa Fr Kitima, Katibu Mkuu wa TEC alipotaja idadi ya mapadri na watawa waliopata Covid-19 na baadhi yao kufariki dunia na watu wengine walivyoibuka kumshambulia Fr na leo alichokisema napata picha tofauti.
Kijakazi ataweza kumbana kweli?Alimshambulia,hakumkosoa
TEC walikuja na ushahidi
Mollel akawashambulia kwa kujipendekeza kwa mteule wake.
Alisema chanjo ili ikubalike no miaka 10 nakuendelea,na akasema Tz hakuna Corona ila kuna shida ya upumuaji tu.
Waandishi wa habari hawambani kwa kauli zake tata
Wala haihitaji umakini, bali unahitajika ukichaa ili kuwaelewa. Hivi dawa na moto si moto!???Bwashee kuwaelewa wanasiasa yahitajika umakini mkubwa!
Asante.Alimshambulia,hakumkosoa
TEC walikuja na ushahidi
Mollel akawashambulia kwa kujipendekeza kwa mteule wake.
Alisema chanjo ili ikubalike no miaka 10 nakuendelea,na akasema Tz hakuna Corona ila kuna shida ya upumuaji tu.
Waandishi wa habari hawambani kwa kauli zake tata
Asante kwa kunisahihisha mkuu!Alimshambulia,hakumkosoa
TEC walikuja na ushahidi
Mollel akawashambulia kwa kujipendekeza kwa mteule wake.
Alisema chanjo ili ikubalike no miaka 10 nakuendelea,na akasema Tz hakuna Corona ila kuna shida ya upumuaji tu.
Waandishi wa habari hawambani kwa kauli zake tata
Chano chano chanjo chanjoJana nimemuona Channel ten akiwa na mtangazaji Albert Kilala katika kipindi cha Msema kweli na wote wawili walikuwa hawajavaa barakoa.
Leo asubuhi nimemuona Dr Mollel akiwa na Sam Sasali na Kijakazi katika kipindi cha Clouds 360 wote watatu wakiwa hawajavaa barakoa.
Usiku huu nimemuona Dr Mollel akiwa na mtangazaji Julieth Robert katika kipindi cha Kipima Joto ITV wote wawili hawajavaa barakoa ila Kahatano wa Latra na afisa wa NIMR wao walivaa barakoa
Sasa inakuwaje mhamasishaji mkuu wa tahadhari za Corona anakuwa wa kwanza kuvunja kanuni tena hadharani?
Kuna watu wanapenda mizaha mizaha by Mwita Waitara.
Mungu ni mwema wakati wote!