Wewe ni mpumbavu sababu uoumbavu ndiy unaouweza. Unsshindwa hata kuangala context unatafuta herufi illiyokosekana.Kuna mtu anaitwa, au ana wadhifa wa lecture! Idiot, go back to school.
Sawa, na mimi nimeweka hapo nafasi lizoshika, ndiyo maana nimeuliza, alimsaudia nani? Kwa mujibu wa mleta mada inaonekana kupitia kuandika vitabu ndiyo anaamini atamsaidia mtanzania.Amesaidia sana,,hasa wakati wa magufuri kwa kuanzia miradi ya kielelezo.Tungeanza zamani mgumo wa miradi ya kielezo sasahivi tungekuwa tunahali Bora sana
Nakuuliza wewe unaupimaje mchango wake?Hicho ni kipimo changu au ni kaul yake?
Achana na huyo Mlevi wa Ulanzi๐Kwamba Lucas ni chenga???
Kumsaidia Mtanzania ni kazi endelevu, sio tukio la mara moja (one-time event)!Sawa, na mimi nimeweka hapo nafasi lizoshika, ndiyo maana nimeuliza, alimsaudia nani? Kwa mujibu wa mleta mada inaonekana kupitia kuandika vitabu ndiyo anaamini atamsaidia mtanzania.
Umecomment kama Lucas ๐ผHaya zaa wako. Naona asilimia 77 zako zote unawaona ni lucas .
Jitu lijinga kama hili litaisaidia nini nchi? kizazi chetu ni cha hovyo snKama Vijana Wenyewe wanaofikisha hiyo 77% ni akina [B]Lucas Mwashambw[/B]a basi hiyo. Mama Tanzania bado ina safari ndefu mno
Mlale Unono ๐
Kwa jinsi mfumo ulivyo wa kijinga hata wewe ukiteuliwa huwezi kusaidia chochote mkuu, kumbuka Makamo wa Rais hawezi kumfukuza kazi hata VEO Lucas Mwashambwa, yaani nchi inaishi kwa maono ya Rais siyo sera, mipango, sheria na katiba ni hovyo hovyo tu. Mzee namwelewa ameona mengi sn sema hawezi kufunguka waziwazi lakini kinachomfanya akimbie ni mfumo ovu nadhani amechoka kuvumilia kuona watanzania wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa lakini kuna kikundi kidogo cha majangili yanaishi kama yapo peponi kwa kodi za wanyonge.Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania,? halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Kumbuka hapo Wasira amefoji umri ana zaidi ya miaka 98 lakini bado ana tamaa balaa ndiyo wengi Tanzania wapo hivyo ni wachache sn ambao hawana tamaa, hata maza miaka 65 lakini bado anautaka u-Rais pamoja na kufeli mipango karibu yote isikuwa mpango wa kuwa na chawa pekee.Kinana anastaafu sababu ya uzee halafu Wassira anateuliwa. VIJANA THAMANI YETU IPI??
Pigia mstariVijana wana hasira kwa sababu ya maisha magumu! CCM ichukue tahadhari kwenye uchaguzi.
Otherwise iendelee kutumia vyombo vya Ulinzi na Usalama kuiweka madarakani.
Mzee kajitahidi sn kwa jinsi mfumo ulivyo wa hovyo wa kutegemea maono ya Rais na chawa wakeAmesaidia sana,,hasa wakati wa magufuri kwa kuanzia miradi ya kielelezo.Tungeanza zamani mgumo wa miradi ya kielezo sasahivi tungekuwa tunahali Bora sana
Sikushikii dudu, umecoment kama johnUmecomment kama Lucas ๐ผ
Dudu lugha za vigoli wa Vijijini hizo ๐Sikushikii dudu, umecoment kama john
Nakupa utawala, maana bado asubuhi, nakua muungwana ujione jembe.Dudu lugha za vigoli wa Vijijini hizo ๐
Hata mbowe alilenga kustaafu atakapofikisha miaka 68, wajumbe tukamwambia imetosha, pumzika.Tuko kwenye nchi ambayo miaka 68 inafaa kustaafu siasa lakini miaka 80 inafaa kuanza kazi ya siasa.