Dr Mpango: Sensa ya Watu na Makazi inaonyesha 77% ya Watanzania ni Vijana, Mimi Sasa nakwenda kuandika Vitabu vya kuisaidia Mama Tanzania!

Dr Mpango: Sensa ya Watu na Makazi inaonyesha 77% ya Watanzania ni Vijana, Mimi Sasa nakwenda kuandika Vitabu vya kuisaidia Mama Tanzania!

Amesaidia sana,,hasa wakati wa magufuri kwa kuanzia miradi ya kielelezo.Tungeanza zamani mgumo wa miradi ya kielezo sasahivi tungekuwa tunahali Bora sana
Sawa, na mimi nimeweka hapo nafasi lizoshika, ndiyo maana nimeuliza, alimsaudia nani? Kwa mujibu wa mleta mada inaonekana kupitia kuandika vitabu ndiyo anaamini atamsaidia mtanzania.
 
Sawa, na mimi nimeweka hapo nafasi lizoshika, ndiyo maana nimeuliza, alimsaudia nani? Kwa mujibu wa mleta mada inaonekana kupitia kuandika vitabu ndiyo anaamini atamsaidia mtanzania.
Kumsaidia Mtanzania ni kazi endelevu, sio tukio la mara moja (one-time event)!
 
Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania,? halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Kwa jinsi mfumo ulivyo wa kijinga hata wewe ukiteuliwa huwezi kusaidia chochote mkuu, kumbuka Makamo wa Rais hawezi kumfukuza kazi hata VEO Lucas Mwashambwa, yaani nchi inaishi kwa maono ya Rais siyo sera, mipango, sheria na katiba ni hovyo hovyo tu. Mzee namwelewa ameona mengi sn sema hawezi kufunguka waziwazi lakini kinachomfanya akimbie ni mfumo ovu nadhani amechoka kuvumilia kuona watanzania wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa lakini kuna kikundi kidogo cha majangili yanaishi kama yapo peponi kwa kodi za wanyonge.
 
Kinana anastaafu sababu ya uzee halafu Wassira anateuliwa. VIJANA THAMANI YETU IPI??
Kumbuka hapo Wasira amefoji umri ana zaidi ya miaka 98 lakini bado ana tamaa balaa ndiyo wengi Tanzania wapo hivyo ni wachache sn ambao hawana tamaa, hata maza miaka 65 lakini bado anautaka u-Rais pamoja na kufeli mipango karibu yote isikuwa mpango wa kuwa na chawa pekee.
 
Amesaidia sana,,hasa wakati wa magufuri kwa kuanzia miradi ya kielelezo.Tungeanza zamani mgumo wa miradi ya kielezo sasahivi tungekuwa tunahali Bora sana
Mzee kajitahidi sn kwa jinsi mfumo ulivyo wa hovyo wa kutegemea maono ya Rais na chawa wake
 
Tuko kwenye nchi ambayo miaka 68 inafaa kustaafu siasa lakini miaka 80 inafaa kuanza kazi ya siasa.
 
Tuko kwenye nchi ambayo miaka 68 inafaa kustaafu siasa lakini miaka 80 inafaa kuanza kazi ya siasa.
Hata mbowe alilenga kustaafu atakapofikisha miaka 68, wajumbe tukamwambia imetosha, pumzika.
 
Back
Top Bottom