Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Dr. Mumbi yupo Tanzania. Ameendesha vipindi vyake kadha wa kadha kusuhusu sekta mbalimbali hapa Tanzania.

Kusema kweli ametumia muda wake vizuri kuhabarisha ulimwengu kuhusu Tanzania.

Hizi ni baadhi ya interview na watendaji wa serikali kuhusu ujenzi wa Taifa.

Utaona katika interviews hizo watendaji wanaelewa dreams za watanzania kupitia rais wetu JPM:-
SUALA LA IMF

WIZARA YA NISHATI

SHIRIKA LA NDEGE TZ

WIZARA YA MADINI

KITUO CHA UWEKEZAJI

SHIRIKA LA RELI TANZANIA
 
Nimepedezwa sana na huyu dada engineer wa dirimulaina..Yaani kiingereza chake kinavutia kweli kweli
 
Amekaa sana bongo, kama hana mume basi siku zake za upweke zinakaribia kufika ukingoni.

Mlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...
 
Usibadili mada. Je, umesikiliza hizo clips!?

Ulivyo mjinga umesahau juzi tu wanawake wa kenya waliandamana kuhusu wanaume wa kenya kushindwa kuwapatia chakula cha usiku.
Walikuwa kienda Rombo Tanzania kusaidiwa.

Au umesahau juzi juzi tu wanaume wa kenya walikuwa wakipigwa na wanawake zao!?

Umesahau juzi juzi tu Ali Kiba kabeba mkenya!? Diamond naye kamchanganya dada yenu hasikii haambiliki.
 
Hehehe mbona unalipuka lipuka ilhal nimemjibu mwanzko aliyebadili mada, yeye hukumtolea hizi pumba zako....
Ni kweli sijasahau jinsi wanwake Watanzania wa kutokea Rombo hupanga foleni wakija Kenya kupata huduma ya vidume maana nyie ovyoo.
 
The best interview kwangu ni ya Dr Medard Kalemani, he explained from the nutshell yaani mpaka Dr Mumbi alikosa chance ya kuuliza swali, she was speechless you can learn from her body language hata interview na Ladislaus Matindi was on point especially encouragement from the young engineer girl,

Sijajua kwanini Dr Mumbi hakuwa interview hawa Malkia wetu wa nguvu

Pia aende kwenye masoko JPM aliyoyaanzisha ya serikali ya uuzaji wa dhahabu ajionee maajabu ndani ya mwezi mmoja yaliyotokea.

Hakika yapo mengi ya kushangaza na kustaajabisha katika uongozi madhubuti na uliotukuka wa Jemedari wetu JPM
 
Kuna vichwa bado hajavigusa
1. Kabudi
2. Wizara ya Fedha (Mpango)
3. Uwekezaji (Kairuki)
4. TPA
5. TAA
6. TCAA kuhusu radar
7. TAMISEMI Jafo
8. Afya Umi Mwalimu
9. Maji Mbarawa
7. Kilimo na Uvuvi Mpina
Ujenzi wa barabara, meli ziwa victori, nyasa na Tanganyika.
Hifadhi ya chakula ya Taifa
SUMA Jkt

Nina uhakika atarudi Kenya na kujiona wakenya wanacheza ndomboro.
 
😁😁😁😁 Hiyo dose itamuu sekunde, simshauri
 
Asihoji upande wa serikali tu bali na upande wetu raia wenyewe,anajazwa na kujazika huku ukweli tukibaki nao sie.
 
Back
Top Bottom