thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Kweli kabisa, uzuri humu ukija na ukanjanja watu wanakubamiza kwa hoja mpaka unaonekana kituko. Watu hatufanyi siasa hapa yeye analeta mambo ya kijiweni. Nimemshauri akomae na FutuhiNeno kuntu sana hili. Ila uki" zoom" sana anachotaka kukizungumza sio Dr.Mumbi, yeye hakufurahishwa na matokeo ya hivi vipindi vya Dr.Mumbai(Tanzania version). Vipindi vimeonyesha jinsi Tanzania ilivyo ktk uhalisia wake, watu wengi wamejua kwamba Tanzania inajitahidi sana kusonga mbele tofauti kabisa na kawaida iliyojijenga duniani kwamba Africa hatuwezi kufanya miradi yetu bila kukopa pesa, kitendo hicho cha dunia kujua hivyo, ndicho kinachowauma watu wengi wa mrengo wa kimagharibi.
