Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Neno kuntu sana hili. Ila uki" zoom" sana anachotaka kukizungumza sio Dr.Mumbi, yeye hakufurahishwa na matokeo ya hivi vipindi vya Dr.Mumbai(Tanzania version). Vipindi vimeonyesha jinsi Tanzania ilivyo ktk uhalisia wake, watu wengi wamejua kwamba Tanzania inajitahidi sana kusonga mbele tofauti kabisa na kawaida iliyojijenga duniani kwamba Africa hatuwezi kufanya miradi yetu bila kukopa pesa, kitendo hicho cha dunia kujua hivyo, ndicho kinachowauma watu wengi wa mrengo wa kimagharibi.
Kweli kabisa, uzuri humu ukija na ukanjanja watu wanakubamiza kwa hoja mpaka unaonekana kituko. Watu hatufanyi siasa hapa yeye analeta mambo ya kijiweni. Nimemshauri akomae na Futuhi
 
Kweli kabisa, uzuri humu ukija na ukanjanja watu wanakubamiza kwa hoja mpaka unaonekana kituko. Watu hatufanyi siasa hapa yeye analeta mambo ya kijiweni. Nimemshauri akomae na Futuhi
Hahahahaha, sitegemi kama atarudi tena hapa, nadhani amejua kwamba hapa sio sehemu ya akina Mange Kimambi.
 
Zingekuwa taarifa za vichochoroni sidhani Kama ungezipata namna hii na kutoa mawazo yako.,tuheshimu hii mitandao ya kijamii ina nguvu 💪
..huyu mama hafanyi hiyo kazi bure, analipwa.

..we are wasting our money.

..badala ya mawaziri wetu kuzungumza na vyombo vya habari vya maana, wanazungumza na mwandishi wa habari wa vichochoroni.
 
Ahsante sana, on top of that, huyu jamaa atakuwa mhutu wa Rwanda, wana laana ya ubaguzi, kikwete alivyokuwa against Kagame, he was so happy, you could see through his posts, magufuli wanapatana na kagame, haoni jema kabisa utawala huu. Ati anamwita dr mumbi, hovyo. Alafu limejificha huku na fake id whilst dr mumbi is out there, hajioni uhovyo wake.
Kukosoa kazi rahisi sana.

..wewe unadai mimi ni Mhutu, kwasababu hiyo nilikuwa namuunga mkono JK dhidi ya PK.

..mwenzako Venus Star anasema kwa muda mrefu nilikuwa namtukana JK.

..kwa kifupi mimi nilikuwa siungi mkono matusi na vitisho vya PK dhidi ya Raisi wa Tz.

..Ilifika wakati mpaka zikawa zinasambazwa habari eti Mama Salma Kikwete ni Mhutu.

..But that is another story. JWTZ ilishawabamiza M23 kitu ambacho baadhi yenu hamkukifurahia, but I dont think it would be appropriate to label you as "not Tanzanian enough."
 
I mean this is the only thing you can do to a corrupt, Inept,Barbaric, creepy system that is deadly to journalists. Praise them on high end to survive.
What were you trying to insinuate?
..she is shallow.

..and she was not prepared for all the interviews that she conducted.

..wako waandishi wa Tz wangeweza kufanya interview nzuri kuliko huyu mama.

..hata Kenya kuna waandishi kadhaa who are better than this lady.
..she was not prepared.

..the questions she asked were not good.
Yeye ni youtuber aliyekuwa akiongea kwenye kamera kwa wadau wake hakuwa akifanya majadiliano kama haya, ameanza juzi juzi tuu.
..huyu mama hafanyi hiyo kazi bure, analipwa.

..we are wasting our money.
Kumbe huelewi "game" lilivyo, analipwa na google kwa kutengenza contents, google wanaonesha matangazo na yeye analipwa, pia wdau wake wanamchangia pesa.
..badala ya mawaziri wetu kuzungumza na vyombo vya habari vya maana, wanazungumza na mwandishi wa habari wa vichochoroni.
Stop living in cave, those days where "taarifa ya habari" was the talk of town and the only way to get the news are over.

You must be out of touch with this era of web 2.0, some of the people you call "wa vichochoroni" have more viewers (who follow them religiously BTW) than major news networks. The fact that her subscribers can tag their friends and friends friends to make a snowball effect on a number of viewers at an instant, you should never underestimate that power.
 
Nilimsikiliza Akimhoji CEO wa ATCL, CEO alijibu poa sana ila sisi bongo bna huyo dkt ni mwandishi uchwara tu huko YouTube inakuaje anapata clearance kubwa ivo mpaka kuwafikia Ministries wetu


Kwani kuna tatizo gani au kwa kuwa ni youtuber mweusi? Ingekuwa ni youtuber Muzungu anafanya hivyo ungemponda pia?
 
..ngoja siku Dr akianza kuzungumzia haya ndiyo mtatia akili.


 
..she was not prepared.
..the questions she asked were not good.
..that caused gov officials she interviewed to come out flat.
..angekuwa na maswali mazuri, angepata majibu mazuri yenye kuelimisha watazamaji wake.
Kama hana maswali mazuri nenda kahoji wewe
Tutakusikiliza
 
Kuna vichwa bado hajavigusa
1. Kabudi
2. Wizara ya Fedha (Mpango)
3. Uwekezaji (Kairuki)
4. TPA
5. TAA
6. TCAA kuhusu radar
7. TAMISEMI Jafo
8. Afya Umi Mwalimu
9. Maji Mbarawa
7. Kilimo na Uvuvi Mpina
Ujenzi wa barabara, meli ziwa victori, nyasa na Tanganyika.
Hifadhi ya chakula ya Taifa
SUMA Jkt

Nina uhakika atarudi Kenya na kujiona wakenya wanacheza ndomboro.
Hiyo dozi kali umewapa, alipoambiwa Dr.Mumbi na kadogosa kuwa treni yetu itatumiaa umeme akabaki kushangaa,sio ya kule kwa watani wetu.This is New TZ bwana
 
Dr. Mumbi yupo Tanzania. Ameendesha vipindi vyake kadha wa kadha kusuhusu sekta mbalimbali hapa Tanzania.

Kusema kweli ametumia muda wake vizuri kuhabarisha ulimwengu kuhusu Tanzania.

Hizi ni baadhi ya interview na watendaji wa serikali kuhusu ujenzi wa Taifa.

Utaona katika interviews hizo watendaji wanaelewa dreams za watanzania kupitia rais wetu JPM:-
SUALA LA IMF




WIZARA YA NISHATI


SHIRIKA LA NDEGE TZ



WIZARA YA MADINI


KITUO CHA UWEKEZAJI


SHIRIKA LA RELI TANZANIA

TUNAJENGA KWA FEDHA ZETU #Tanzania to receive Sh452bn Credit Suisse boost for SGR, power projects



Tanzania to receive Sh452bn Credit Suisse boost for SGR, power
Tanzania will receive a $200 million loan from Credit Suisse for its mega energy and railway development projects.
thecitizen.co.tz

6:33 AM · Jul 19, 2018 · Twitter Web Client
https://twitter.com/KennedyMmari/status/1019893063769120769/retweets
 

Tanzania will receive when will be??? Tanzania to receive then when when will be??? Kwa taarifa yako mikopo yote tumeikataa kutoka na masharti magumu na kwenye interest ndio maana tukaamua kujenga modern electric railway using our funds👇👇👇👇
F3C064BC-342A-4EE6-BDF5-5BA5F32AF140.jpeg
 
Back
Top Bottom