Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Hahahahaha, au wangesema ni NASA haipendi JubileeeAngekuwa na ID hapa JF MiJubilee ingesema yeye sio mkenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivyo tena ndugu yangu. Wakenya wengi wanatakiwa wabadili minde set. Tutasongesha Africa kwa pamoja. EGO inawatesa sana.Nimepedezwa sana na huyu dada engineer wa dirimulaina..Yaani kiingereza chake kinavutia kweli kweli
Amekaa sana bongo, kama hana mume basi siku zake za upweke zinakaribia kufika ukingoni.
Usibadili mada. Je, umesikiliza hizo clips!?Mlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...
Usijishugulishe sana na hao malofa, Kichwani kumejaa tu fikra za kujamiana, ukabila na utapeli..Jioni jamaa hata unga wa kusonga ugali hana japo atakwambia yupo na GDP kubwaUsibadili mada. Je, umesikiliza hizo clip!?
Usibadili mada. Je, umesikiliza hizo clips!?
Ulivyo mjinga umesahau juzi tu wanawake wa kenya waliandamana kuhusu wanaume wa kenya kushindwa kuwapatia chakula cha usiku.
Walikuwa kienda Rombo Tanzania kusaidiwa.
Au umesahau juzi juzi tu wanaume wa kenya walikuwa wakipigwa na wanawake zao!?
Umesahau juzi juzi tu Ali Kiba kabeba mkenya!? Diamond naye kamchanganya dada yenu hasikii haambiliki.
Kuna vichwa bado hajavigusaThe best interview kwangu ni ya Dr Medard Kalemani, he explained from the nutshell yaani mpaka Dr Mumbi alikosa chance ya kuuliza swali, she was speechless you can learn from her body language hata interview na Ladislaus Matindi was on point especially encouragement from the young engineer girl,
Sijajua kwanini Dr Mumbi hakuwa interview hawa Malkia wetu wa nguvu
Pia aende kwenye masoko JPM aliyoyaanzisha ya serikali ya uuzaji wa dhahabu ajionee maajabu ndani ya mwezi mmoja yaliyotokea.
Hakika yapo mengi ya kushangaza na kustaajabisha katika uongozi madhubuti na uliotukuka wa Jemedari wetu JPM
ππππ Hiyo dose itamuu sekunde, simshauriKuna vichwa bado hajavigusa
1. Kabudi
2. Wizara ya Fedha (Mpango)
3. Uwekezaji (Kairuki)
4. TPA
5. TAA
6. TCAA kuhusu radar
7. TAMISEMI Jafo
8. Afya Umi Mwalimu
9. Maji Mbarawa
7. Kilimo na Uvuvi Mpina
Ujenzi wa barabara, meli ziwa victori, nyasa na Tanganyika.
Hifadhi ya chakula ya Taifa
SUMA Jkt
Nina uhakika atarudi Kenya na kujiona wakenya wanacheza ndomboro.
Mlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...
Basi na muomba aende Taasisi ya Moyo ya Jakaya.ππππ Hiyo dose itamuu sekunde, simshauri
Msee vipi!! Mbona unabadili mada, acha ufisi [emoji1]Mlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...
Basi na muomba aende Taasisi ya Moyo ya Jakaya.
Akijaribu tu ninauhakika ataomba uraia wa TZ.Hapo sawa ila asidhubutu kuruka Mloganzila