Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

Wewe huna data bora ukae kimya. Umeniacha hoi kwamba kwasababu mwakalinga ni engineer basi ndiye mimi engineer.
Hapa kwa kweli nilichemka muzee!

Engineer, hapa hujaweka hamira na chumvi? endelea kutuhabarisha tutakuwa tunachangua mchele na pumba ......hii Kyela inaelekea ni balaa 2010, asiye na mwana atafute jiwe bado mapema!
 
Masa,

Kama nilivyosema. Engineer ana datas nyingi sana ila uandishi wake wakati mwingine anapitiliza. Zile datas alizoweka za Mwakalinga kwa kweli naona anafanya homework yake vizuri ingawa kuna mengine naona hayafahamu bado.

Engineer, acha kwanza kumwaga datas za GAM maana jamaa hajawa public figure bado. Sasa hivi yeye ni raia wa kawaida tu wa Tanzania ambaye anaishi na kufanya kazi zake UK ndani ya mji wa ..... (Mji sitaji, kwi kwi kwiii).
Kama akitangaza kuja kugombea ubunge wa Sikonge au Kyela au cheo chochote kile basi hapo ndipo tutamuanika ubaya na uzuri wake (ila mnisamehe, mie mabaya yake ntampa live akifika hapa Sikonge).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…