Balaa lingine lilitokea jana, vile vyakula vya misaada vilivyotolewa kwa ajili ya mafuriko Kyela jana vilimwagwa na wafuga nguruwe kujizolea. Inasemekana hiyo misaada ilifichwa na hiyo NGO ya jamaa zake Mwakyembe ambao alikuwa anawatumia kugawa misaada. Badala yake walikuwa wanatumia chakula hicho kuwalisha wafanyakazi wanaofanya kwenye kampuni yao binafsi ya ujenzi. Matokeo yake wameshindwa kumaliza mpaka unga umeoza huku wananchi wengi walilalamika wakati ule kwamba hawakupata chakula cha misaada. Mwulizeni Dr wenu vipi alikuwa busy na Richmond mpaka wajanja wana abuse misaada?