Dr. Mwakyembe on KLH News

Dr. Mwakyembe on KLH News

Anzeni kuingia kwenye bongoradio.com maana mnaweza kutoa maswali yenu live as we go along.. Dr. Mwakyembe is on his way
 
Mwanakijiji,

Swali kwa mheshimiwa kama itawezekana:

Je kama baadhi ya watu waliotajwa kuhusika na Richmond kwa njia moja ama nyingine wataamua kukataa kujiuzulu, na pia rais kutokuwachukulia hatua yoyote. Je bunge pamoja na kamati wana nguvu gani ya kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua?
 
Mkuu,

Mambo yanaanza saa ngapi? maana huu muziki wa BongoRadio utamaliza bandwidth quota yangu!!!!
 
Mwanakijiji mimi unenichanganya kabisa...haya mahojiona nitayasikiliza vipi mbona kote sisikii lolote kuhusu Dr Mwakyembe?
 
Imekuwa vigumu kuzungumza na Mwakyembe, licha ya majaribio kadhaa. Hata hivyo nitafanya jitihada upande wangu kufanya naye mahojiano na kuyarekodi
 
Pale kwenye bongoradio.com kuna mahali panasema "chat"...ingia humo
 
Loh! aisee leo nimepigwa bao. Nilikuwa nina maswali kibao lakini kila nikiingia kwenye hiyo chat napata error message....ebwana nimekosa uhondo....damn it!!
 
Mwanakjj.
Mahojiano haya siyapati naona miziki tu Bongo radio. rudisha kwenye podomatic yako au nifanyeje?
 
Kesho nina interview kubwa mbili, lakini kutokana na ukata nalazimika kuchagua moja. Kuna ya Prof. Njozi kuhusu ujio wa Rais Bush, na kuna Dr. Harrison Mwakyembe kuhusu Kamati yake na yale yaliyojiri Bungeni. Naomba mnichagulie ipi tuifanye ili nimuombe mmoja wao kuahirisha.

Mwakyembe kwanza, pia muulize kuhusiana na vitisho wanavyovipata wajumbe wa kamati hiyo. Je, ni vitisho vya aina gani? wanapigiwa simu au kutumiwa text message? Je siri kali imesema nini kuhusiana na vitisho hivyo na kama kuna hatua zozote ambazo siri kali imaeahidi kuzichukua. Ana maoni gani na wale waliokataa kuonana na wajumbe wa kamati hiyo?
 
good.. Prof. Njozi then kwa maani nilimbuku mapema...

MMM

Kama unampa kipaumbele Prof. Kwanini umetuuliza kutoa maoni ni nani umhoji? Mimi nafikiri sikiliza maoni ya wana JF kama ulivyo waomba! Mwenyewe ningependa ukutane na Dr. Mwakyembe first bwana!
 
Back
Top Bottom