Dr. Mwakyembe ukumbuke kuna Corona

Dr. Mwakyembe ukumbuke kuna Corona

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,586
Reaction score
7,087
Nimekusikia jioni hii ukihamasisha watu wajazane uwanjani mechi ya Simba na Yanga ila ukumbuke kuna Corona.

Ikiwezekana milangoni muwapime watu joto sio kuwajaza tu uwanjani, likiibuka la kuibuka usitafute mchawi.

Pesa mbele mauti nyuma. Waandishi nao mnajifanya mmesahau Corona.
 
Nimekusikulua jioni hii ukihamasisha watu wajazane uwanjani mechi ya simba na yanga ila ukumbuke kuna korona.Ikiwezekana milangoni muwapime watu joto sio kuwajaza tu uwanjani, likiibuka la kuibuka usitafute mchawi.Pesa mbele mauti nyuma.Waandishu nao mnajifanya mmesahau korona.
Tanganyika Hujaeleweka vizur mkuu

Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk
 
Wenzetu wako in high alert na corona
Sisi tunahamasushana kujazana uwanjani
Wengine kwenda kuona miunoo ya koffie

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu wako in high alert na corona
Sisi tunahamasushana kujazana uwanjani
Wengine kwenda kuona miunoo ya koffie

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
. Mbon uingereza still watu wanaenda uwanjani laliga, league one kote uko viwanja vinajaza kila siku

Kungekuw na case ilioripotiwa ndo mshabik wasingeruhusiwa kuingia
 
. Mbon uingereza still watu wanaenda uwanjani laliga, league one kote uko viwanja vinajaza kila siku

Kungekuw na case ilioripotiwa ndo mshabik wasingeruhusiwa kuingia
Cheki hii soon watapiga ban

Ova
IMG-20200306-WA0044.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenge wewe,umeandika nini hii? Uingereza kuna laliga?leaque one?
. Mbon uingereza still watu wanaenda uwanjani laliga, league one kote uko viwanja vinajaza kila siku

Kungekuw na case ilioripotiwa ndo mshabik wasingeruhusiwa kuingia
 
Back
Top Bottom