Dr. Mwele Malecela aula WHO

Dr. Mwele Malecela aula WHO

Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Watu wenye upeo mdogo na roho za korosho mpo wengi mzee.
 
atulie sasa aachane na mambo ya kutangaza outbreaks za magonjwa nje ya utaratibu.
Hongera zake sana!
Nyie ndio hamuujui utaratibu mnakurupuka. Huoni toka mmemfukuza huko UN anazidi kupandishwa cheo? Kaeni na ujinga wenu.
 
Ukimuona wa nini.wenzio husema watampata lini. Ila waswahili bwana hawakukosea na misemo yao.
 
alifaa kutangaxia taifa maafa kuwa kuna zika?? Vipi leo ukiamka adubui uamviwe kipindupindu kimeingia mtaani kwako wakati si kweli?
Ile kumtimua mlikurupuka.kubalini kuwa mlikosea.
 
Ngoja tusubiri pongezi kutoka serikalini kama zitatolewa maana nchi hii ina laana kwa sasa.
 
Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..

Akiwa president atafanya huyu.
 
Back
Top Bottom