Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watu wenye upeo mdogo na roho za korosho mpo wengi mzee.Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Ajiangalie. He is not beyond the bounds. Not an Alpha nor Omega! 😂😂😂😂Halafu kila anayegombana
naye huwa anabarikiwa , hii maana yake nini ?
Nyookoooo.ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Nyie ndio hamuujui utaratibu mnakurupuka. Huoni toka mmemfukuza huko UN anazidi kupandishwa cheo? Kaeni na ujinga wenu.atulie sasa aachane na mambo ya kutangaza outbreaks za magonjwa nje ya utaratibu.
Hongera zake sana!
Ndo maana yake huoni hata sura tu mze baba.Jee ni mtoto wa ex- PM Mzee Malecela?
Ile kumtimua mlikurupuka.kubalini kuwa mlikosea.alifaa kutangaxia taifa maafa kuwa kuna zika?? Vipi leo ukiamka adubui uamviwe kipindupindu kimeingia mtaani kwako wakati si kweli?
Ha ha ha... Huo sasa uchokozi...kwa hiyo huyu mama anaongea cha malkia kuliko jiwe!!!!
Inakusaidia nini sasa??
Dr.Mwele for President.kwa hiyo huyu mama anaongea cha malkia kuliko jiwe!!!!
Hongera sana Dr Mwele, wewe ukisema wanini? mwenzako anasema nitampata lini!
Kutumbuliwa kumekua a blessing in disguise.
Mlango mmoja wa rizki ukifungwa na Mwanadamu basi Mungu hufungua mingine 10Nabii hakubaliki kwao.. Kila la kheri kwenye kazi yake mpya..
Mungu amempa wala sio mwanadamu acha uzwazwaninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Shule muhimu jaman, watu wanakula vitengo sio mchezoView attachment 887830
Mama kawa bosi wa dunia siyo Afrika tena namaanisha dunia kwenye magonjwa ya MINYOO, MATENDE NA MABUSHA, KICHOCHO, USUBI, TRAKOMA, LEISHMANIASIS n.k n.k
wivu tu.. m....ninaInakusaidia nini sasa??
Ni kweli mkuu. Wenzako wanakililiaHongera sana Dr Mwele, wewe ukisema wanini? mwenzako anasema nitampata lini!
usifananishe kisukumakirundi cha jiwe na kiinglishikwa hiyo huyu mama anaongea cha malkia kuliko jiwe!!!!
kuna mtu hapa akiona hii anatamani ampotezeNafarijika kuona mtanzania akifanikiwa kushika nafasi kubwa duniani kwenye shirika la Afya Ulimwenguni.
We mchawi unaishi kwa hayo ulioyataja. Mwehu kweliKijana angalia usiwe mchawi.