Gwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
Lisu tena ? Siyo yule naniliu wenu?Gwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
Unaamini hatukubaliwi!?..poleMnatapatapa kutafuta kukubaliwa.
Ipo siku utakufa mdomo wazi, wewe ndo wa kumtetea Gwagima kweli, hii laana inaenda kutafuna kizazi chako choteGwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
Gwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
HahahaMnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima!
Jitafakari!
Amechelewa sanaAnatafuta trending na kufanya spinning ili aiteke mitandao kwa mijadala
Kilwa Kipatimu, Mitole, Nanjirinji,Waziri mkuu Tangaza walio Jela wote kwa makosa ya kisiasa na kubambikiana kesi waachiwe kesho asubuhi nami nianze kukupigia makofi huku Kilwa Kipatimo....
Mpuuzi weGwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
Nanjilinji napapenda Sana ,kuna manzi moja pale nakulaga kila nikipata Ruti ya kusini nalala nanjilinji