PostGE2025 Dr. Mwigulu, This is awkward! The list was long, why single out Gwajima? What about Lisu? And the rest rotting in police cells?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gwajima ni case tofauti,lisu ana damu nyingi mikononi,sharti aulizwe
 
Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima!
Jitafakari!
Hahaha
 
Nanjilinji napapenda Sana ,kuna manzi moja pale nakulaga kila nikipata Ruti ya kusini nalala nanjilinji
 
As far as they are concerned Mwigulu is on ‘charm offensive’ campaign. Whilst we view it an ‘insulting’ tour all he does is adding salt to the wounds of many.

Ni kama vile serikali kuu aina control na nchi; wanayosema na yanayofanyika tofauti. Achilia mbali kukosa muda wa kuomba radhi familia zilizopoteza familia zao.

Delulu’s are far from reality, wanatuona watanzania hamnazo kweli kweli na wepesi sana. Japo fikra zao hizo ndio zilizosababisha tufike hapa since 2021.
 
Mwigl amefanywa kuwa domo la shetani., huku shetani likiwa limeamua kuziba mdomo.
 
Nanjilinji napapenda Sana ,kuna manzi moja pale nakulaga kila nikipata Ruti ya kusini nalala nanjilinji

1 Kor 6:18-20​

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…