Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Unakula kila siku inategemea unaumwa na kitu gani au maradhi gani?mkuu hivi unavitumiaje? Kinga ni bora kuliko tiba.
Dokta mzizi mkavu na mm naomba msaada wako hiyo thread ya dawa ya koo ilinipita sikubahatika kuiona na mm nina matatzo ya koo langu linanisumbua nikienda hospital nashindwa kupata tiba ya kudumu kwan baada ya mda linarud tena kweny hal yakama kuwa na kitu kisichoshuka na mida mingine huwa kinanisababishia kichefu chefu na kikohoz pia..Hivyo naomba msaada wakoMkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za
Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na
kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu
wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana
uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia
watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi
Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake.
Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)
Dokta mzizi mkavu na mm naomba msaada wako hiyo thread ya dawa ya koo ilinipita sikubahatika kuiona na mm nina matatzo ya koo langu linanisumbua nikienda hospital nashindwa kupata tiba ya kudumu kwan baada ya mda linarud tena kweny hal yakama kuwa na kitu kisichoshuka na mida mingine huwa kinanisababishia kichefu chefu na kikohoz pia..Hivyo naomba msaada wako
MziziMkavu samahani aisee, kuna vitu tulikuwa tunazungumzia ndio maana nkazungumza niliyo zungumza.Sorry for misunderstanding brother.Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake. Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)