Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za

Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na

kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu

wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana

uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia

watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi

Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake.

Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)
Dokta mzizi mkavu na mm naomba msaada wako hiyo thread ya dawa ya koo ilinipita sikubahatika kuiona na mm nina matatzo ya koo langu linanisumbua nikienda hospital nashindwa kupata tiba ya kudumu kwan baada ya mda linarud tena kweny hal yakama kuwa na kitu kisichoshuka na mida mingine huwa kinanisababishia kichefu chefu na kikohoz pia..Hivyo naomba msaada wako
 
Dokta mzizi mkavu na mm naomba msaada wako hiyo thread ya dawa ya koo ilinipita sikubahatika kuiona na mm nina matatzo ya koo langu linanisumbua nikienda hospital nashindwa kupata tiba ya kudumu kwan baada ya mda linarud tena kweny hal yakama kuwa na kitu kisichoshuka na mida mingine huwa kinanisababishia kichefu chefu na kikohoz pia..Hivyo naomba msaada wako

Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama

saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.



Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri

unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kawaida.Baada ya SIKU 7 ,tangu kutumia

dawa utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda

unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha! Kuhusu Thread ya Mr

Majigo Tembelea bonyeza hapa
Topic: Msaada tiba Kwa fangasi za kooni! Ukipona usikose na wewe kuleta feedback hapa.
 
Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake. Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)
MziziMkavu samahani aisee, kuna vitu tulikuwa tunazungumzia ndio maana nkazungumza niliyo zungumza.Sorry for misunderstanding brother.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom