Dr. Nchimbi amejiuzulu mwenyewe kuokoa mafao yake.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Dr. Nchimbi aliboronga kwenye nafasi aliyopewa na CCM na CCM alitaka kumuondoa kwenye nafasi kwa mujibu wa katiba ya CCM na Katika ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Kama Dr. Nchimbi angesubiri chama na bunge vitumike kumuondoa kwenye nafasi basi angepoteza maslahi yake ya Umakamu ya sasa na yajayo kama angependa kuendelea na siasa ndani ya CCM na Tanzania huko mbeleni. Hivyo, kujiuzulu kwake mwenyewe amecheza karata nzuri sana kwake na chama.

Dr. Nchimbi alichoka kuwa msaidizi namba moja wa boss wake; hilo kila mtanzania analijua maana alitangaza mwenyewe hadharani kuwa Rais Samia ndiye hataki kuandika katiba mpya, mdaini hata ikibidi kwa nguvu (mapinduzi), huku akijua kuwa sio Rais Samia ambae aliiandika katiba ya 1977 ambayo ilitumiwa na Mwl Nyerere, Mzee mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kama ilivyo sasa. Why now iwe LAZIMA Samia aiandike yeye tena hata ikibidi kwa nguvu?

Pili, hatujui Tume ya Jaji Chache ilikuja na majina gani ya waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kutekeleza vurugu za Oct29 na baada ya Oct29. Huenda jina la Nchimbi limo, hili hatulijui lakini Dr. Nchimbi amekuwa akijinasibu kuwa Mkatoliki kila wakati na kuwa rafiki na akina Maria Sarungi na kuwahurumia sana wafanya vurugu zile. Tanzania tumeshavuka kwenye kujitambulisha kwa dini na ukabila lakini Dr. Nchimbi alianza kupiga kampeni za kidini kila wakati alipopata nafasi, nadhani ni maandalizi ya 2030, hasa baada ya kumuona Dr. Mwigulu akizunguuka nchi nzima kusalimia na kutatua kero za wananchi. Tunajua kuwa Mwl. Nyerere, Mkapa, Magufuli, Dr. Mpango na Dr. Nchimbi wooote hao ni wakatoliki lakini nadhani ilitokea tu au ni mpango maalumu wa kanisa.

Hata hivyo hata yeye CCM itaenda nae sambamba kama hawa hapa

View: https://youtu.be/bqIE5Y8IYSU?si=fKsQJxXKBSvOfEEj
 
Yaani waache kumuondoa boss wao wahangaikie kumuondoa msaidizi, hizi akili za wapi....nilikuwa natamani sana asingejiudhuru ili tuuone upumbavu wa watu. Basi anayeamini hii habari naye pia yupo ktk hilo kundi la watu wa aina hiyo.mm siamini ujinga wa kujiudhuru kisa kunusuru mafao
 
1787750978299.png
 
..bado Mama alikuwa na nafasi ya kukataa ombi la kujiuzulu, na badala yake kumpeleka kwenye vikao vitakavyochukua hatua za kunidhamu.
 
Kama unaenda kuwa Makamu wa Rais kwa kufuata mafao, basi una matatizo makubwa sana.
 
Yaani waache kumuondoa boss wao wahangaikie kumuondoa msaidizi, hizi akili za wapi....nilikuwa natamani sana asingejiudhuru ili tuuone upumbavu wa watu. Basi anayeamini hii habari naye pia yupo ktk hilo kundi la watu wa aina hiyo.mm siamini ujinga wa kujiudhuru kisa kunusuru mafao
Kaka CCM walivyo unaweza kukosa Pangani na Bweni
 
..bado Mama alikuwa na nafasi ya kukataa ombi la kujiuzulu, na badala yake kumpeleka kwenye vikao vitakavyochukua hatua za kunidhamu.
Ni busara ya mama tu, hata Dr. Mpango aliambiwa ajiuzulu tu akalee wajukuu wake kwa heshima badala ya kufukuzwa na kuondolewa nchini, maana kuna taarifa kuwa yeye ni Mrundi. Hii ni kuonyesha kuwa CCM na Rais Samia anatumia busara nyingi sana kwenye nafasi yake hii.
 
..huyo hana busara wala uwezo.

..vyombo vinapata taabu kwasababu ya makosa ktk maamuzi yake.

..rejea jinsi alivyobadilisha wakurugenzi wa Tiss.

..kashindwana na makamu wawili.

..kashindwana na maspika wawili wa bunge.

..utitiri wa makesi ya ugaidi na uhaini yote ni matokeo ya kiongozi kupelea.
 
Kwamba miaka yote hiyo anahudumu kwenye nafasi nyeti, ameteuliwa kuwa VP. Bado tu aliyemteua hakujua kwamba ni mrundi?
 
hilo la khs mafao siliamini hata siku moja, kwani hata sasa hivi raisi anaweza kuyazuia pia kama akiamua, atafanya nini kwa mfano? ataenda wapi kushitaki na kuyadai (hayo mafao) hapa tanzagiza?

njoo kivingine ...
Hawezi kuyazuia yapo kisheria. hata kama akiyazuia Rais ajae atayalipa yooote kwa mkupuo.
 
..huyo hana busara wala uwezo.

..vyombo vinapata taabu kwasababu ya makosa ktk maamuzi yake.

..rejea jinsi alivyobadilisha wakurugenzi wa Tiss.

..kashindwana na makamu wawili.

..kashindwana na maspika wawili wa bunge.

..utitiri wa makesi ya ugaidi na uhaini yote ni matokeo ya kiongozi kupelea.
Unaamini kwamba kuna watu ambao walipanga Samia asiapishwe kuwa Rais baada ya Rais JPM kufariki? Unajua ni akina nani? unajua kwanini hawakutaka aapishwe yeye kuwa rais? Unajua ni nani aliuzuia mpango huo?
 
Back
Top Bottom