Dr Nchimbi atakuwa Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Dr Nchimbi atakuwa Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM kuwa Makamu wa Rais wa JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Dr Nchimbi Amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, DC, Mbunge, Waziri, Balozi, Katinu mkuu wa CCM na inshara October atakuwa Makamu wa Rais wa JMT

Songea hadi Mbambabay mbarikiwe sana kwa hii CV ya kijana wenu

Mulibwanji bambo a Songambele? 😁😁
 
Mods rekebisha heading isomeke Mwenyekiti mstaafu wa UVCCM
 
Dr Nchimbi Amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, DC, Mbunge, Waziri, Balozi, Katinu mkuu wa CCM na inshara October atakuwa Makamu wa Rais wa JMT

Songea hadi Mbambabay mbarikiwe sana kwa hii CV ya kijana wenu

Mulibwanji bambo a Songambele? 😁😁
In fact,
Dr.Emmanuel John Nchimbi ndie atakua agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2035 na 2035-2040🐒
 
Actually kama kweli Dr Mpango kaamua kupumzika kwa hiari yake na si kupumzishwa,basi kawaangusha sana waha!

Angekomaa tu walau aiache Kigoma ikiwa mahali fulani.
 
Back
Top Bottom