Pre GE2025 Dr. Nchimbi: Rais Samia kwa mapenzi yake kwa watu wa Ruvuma alikataa kubadili ratiba ili aende Marekani ambapo jana angehutubia UNGA!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
 
Mwambieni ,akiendelea kuwasifia na kuwatetea akina mboye ,Kuna kazi mpya Haina mtu atapewa
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
huko nje ya nchi wanaiona hii nchi kituko na viongozi wake vituko. hiyo heshma wanaipata hapa tu, wakiwe huko wanafikiriwa si kitu kabisa. wala wasipandishe mabega sana.
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
 
Attachments

  • IMG-20240926-WA0035.jpg
    IMG-20240926-WA0035.jpg
    79.6 KB · Views: 2
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
Uongo uongo kila mahali na ajabu uongo unapongezwa!
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
Masikini Nchimbi ameshakuwa Blacklisted anahangaika bure. Ila ya Mungu mengi.
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
Ujinga ujingani!
Screenshot_20240928-083636.png
 
Attachments

  • Screenshot_20240928-071638.png
    Screenshot_20240928-071638.png
    1 MB · Views: 2
Kwamba wasaidizi wa Rais wanaopanga ratiba Ikulu walisahau kwamba kuna September General Assembly.... ambayo sasa wanaona ni muhimu, wakamshauri aende

Unajua uongo mwingine na uchawa ni wa kujishushia heshima wewe mwenyewe Nchimbi na Ikulu ya Mwenyekiti wako

Ningekuwa mimi Samia ningekataa hii sifa ya kichawa, inayomaanisha as president you are running a shambolic State House that forgets UN General Assembly annual sessions.

Nchimbi, kuna maisha na legacy yako baada ya huyu Samia, jaribu kuwa a statesman and a respected diplomat who rises above cheap local politics za uchawa chawa na uongo uongo wa kujishushia heshima
 
Kwa mambo haya mabaya yanayofanywa na vyombo vya dola nchini: utekaji, mauaji na uminyaji wa demokrasia, tarajieni kumwona Rais mara nyingi akiwakilishwa nje ya nchi na wasaidizi wake. Wanahabari wa huko nje, hawapo kama wanahabari njaa wa hapa kwetu, akienda nje, watamsuta kwa maswali ya uhakika hasa.
 
Kwamba wasaidizi wa Rais wanaopanga ratiba Ikulu walisahau kwamba kuna September General Assembly.... ambayo sasa wanaona ni muhimu, wakamshauri aende

Unajua uongo mwingine na uchwa ni wa kujishushia heshima wewe mwenyewe Nchimbi na Ikulu ya Mwenyekiti wako

Ningekuwa mimi Samia ningekataa hii sifa ya kichawa, inayomaanisha as president you are running a shambolic State House that forgets UN General Assembly annual sessions.

Nchimbi, kuna maisha na legacy yako baada ya huyu Samia, jaribu kuwa a statesman and a respected diplomat anae rise above cheap local politics za uchawa chawa na uongo uongo wa kujishushia heshima
Ameongea uwongo wa wazi kupindukia!!
 
😂😀🤣🤣 ni uongo wa SGR, a
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma

Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale unono 😃🌹
meogopa,mwoga baada bya kuwananga mabeberu kupitia mabalozi,kuhusu utawala bora,kuuwawa kwa watu na kutekwa kwa watu.

Angeenda angepokelewa na mabango,vyombo vya habari vingemzonga na kumuuliza maswali magumu.

Akaamua kubadilisha gea angani.

Kwa layman wanadhani kauli bya nchimbi ni sahihi, ni UCHAWA ulopitiliza ukweli haupo hivyo na anajua
 
Kwamba wasaidizi wa Rais wanaopanga ratiba Ikulu walisahau kwamba kuna September General Assembly.... ambayo sasa wanaona ni muhimu, wakamshauri aende

Unajua uongo mwingine na uchwa ni wa kujishushia heshima wewe mwenyewe Nchimbi na Ikulu ya Mwenyekiti wako

Ningekuwa mimi Samia ningekataa hii sifa ya kichawa, inayomaanisha as president you are running a shambolic State House that forgets UN General Assembly annual sessions.

Nchimbi, kuna maisha na legacy yako baada ya huyu Samia, jaribu kuwa a statesman and a respected diplomat anae rise above cheap local politics za uchawa chawa na uongo uongo wa kujishushia heshima

Uongo mwingine wa kifala sana hii ratiba ya UN General assembly ipo muda mrefu sana.
Hii mijamaa ya ccm inawafanya watu wengine hawana akili kama yenyewe
 
Back
Top Bottom