Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Kwa niaba yake hii hotuba imesomwa huko Umoja wa Mataifa :
Ujumbe wa 4R, Uchaguzi 2024 pia 2025, Matumaini, Utu kwa Wote na Amani kwa Dunia Yote Uliotolewa na Tanzania UNGA79
Hayo yamesemwa na waziri mkuu wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa wakati akihutubia mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 79 jijini New York nchini Tanzania :
View: https://m.youtube.com/watch?v=tGE2Y4GwALY
Malengo endelevu na ushirikishwaji wa wote, utu wa mtu na watu wote, utatuzi wa migogoro, amani, ukosefu wa chakula .... haki kwa wote, uwajibikaji, Haki ya Kuishi ili Kufikia Matarajio yao yote msishani ni tamko Tanzania inasisitiza asema waziri mkuu wa Tanzania akihutubia Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa akimuwakilisha rais Samia Hassan katika kutano hilo muhimu la kila mwaka ....Kassim Majaliwa Majaliwa,Prime Minister Of The United Republic Of Tanzania, Addresses The General Debate Of The 79th Session Of The General Assembly Of The United Nations (New York 24-30 September 2024)
Kuhusu uchaguzi wa November 2024 wa serikali za mitaa na ule uchaguzi mkuu wa 2025, waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ameihakikishia Dunia na Jumuiya ya kimataifa kupitia mkutano wa UNGA 79 kuwa chaguzi zitakuwa wazi, huru na wa haki kwa vyama vyote vitavyoshiriki ...