johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
huko nje ya nchi wanaiona hii nchi kituko na viongozi wake vituko. hiyo heshma wanaipata hapa tu, wakiwe huko wanafikiriwa si kitu kabisa. wala wasipandishe mabega sana.Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
we unafkiri nchimbi ni level ya waganga njaa!Mwambieni ,akiendelea kuwasifia na kuwatetea akina mboye ,Kuna kazi mpya Haina mtu atapewa
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
Uongo uongo kila mahali na ajabu uongo unapongezwa!Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
Masikini Nchimbi ameshakuwa Blacklisted anahangaika bure. Ila ya Mungu mengi.Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
Ujinga ujingani!Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
Ameongea uwongo wa wazi kupindukia!!Kwamba wasaidizi wa Rais wanaopanga ratiba Ikulu walisahau kwamba kuna September General Assembly.... ambayo sasa wanaona ni muhimu, wakamshauri aende
Unajua uongo mwingine na uchwa ni wa kujishushia heshima wewe mwenyewe Nchimbi na Ikulu ya Mwenyekiti wako
Ningekuwa mimi Samia ningekataa hii sifa ya kichawa, inayomaanisha as president you are running a shambolic State House that forgets UN General Assembly annual sessions.
Nchimbi, kuna maisha na legacy yako baada ya huyu Samia, jaribu kuwa a statesman and a respected diplomat anae rise above cheap local politics za uchawa chawa na uongo uongo wa kujishushia heshima
meogopa,mwoga baada bya kuwananga mabeberu kupitia mabalozi,kuhusu utawala bora,kuuwawa kwa watu na kutekwa kwa watu.Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni upendo wa pekee kabisa aliouonesha Rais Samia Kwa Wananchi wa Ruvuma
Na sisi Wanaruvuma kwa kukuonesha Shukrani zetu tumeujaza Uwanja huu takribani mara 2 kwani uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua Watu 30,000 Lakini hapa tumo zaidi ya 50,000 amesema Dr Nchimbi
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale unono ππΉ
Ziara ingeweza kwenda kwanza mbele, lakini UNGA ni mara moja kwa mwaka!!!Sawa sawa
π€£π€£π€£
Ya Nchi kwanza
Kwamba wasaidizi wa Rais wanaopanga ratiba Ikulu walisahau kwamba kuna September General Assembly.... ambayo sasa wanaona ni muhimu, wakamshauri aende