Dr. Ndalichako na waandishi wetu wa habari

Wizara imelala usingizi wa pono mambo hayaendi. Kibaya zaidi wanawatia upofu watanzania kuonesha kila tatizo kwenye elimu ni dr Ndalichako
 

NECTA
(NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA)
Ndugu,
Nashawishika kusema hiyo title(NECTA) haitutendei haki Watanzania na sekta ya elimu kwa ujumla.
Kuitwa BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA ni jambo kubwa na tukufu sana.Hii imenipelekea kujiuliza maswali mengi mno;

1.Je Baraza lina udhibiti wa mitihani yote inayotungwa na kufahamika hapa nchini?

Na kama siyo tuna sababu gami ya kuliita BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA?

2.Hao TAHOSSA hawafuati criterias na miongozo ya utungaji na usahihishaji wa mitihani kutoka BARAZA au na wao wana za kwao?

Kwa vyombo vingine vinavyotunga mitihani hususani katika sekondari na vyuo/Ualimu,vinapofanya makosa NECTA haina mamlaka ya kuviwajibisha?

Mimi kwa upande wangu,sijui kwa MAWIO;
Natanabaisha kwamba;
BARAZA linahusika kwa namna moja kudumaza elimu kwasababu baada ya kufanya measurement & evaluation wanatakiwa watoe mkazo katika maoni yao ambayo yataonesha dira ni vitu gani vinahitaji kufanyiwa kazi ili kuipa uhai rlimu yetu iliyoko I.C.U

4.BARAZA linahusika kuzalisha walimu wasio na sifa.
Walimu wengi katika shule zetu Tanzania wamepita katika vyuo vya Ualimu i.e.GRADE A,STASHAHADA achilia mbali kwa hawa wachache wa zama hizi wanaoganga njaa kutoka vyuo vikuu mbalimbali.
Wengi kati ya walimu halisi i.e.(grade A's & Diploma) wamefaulu mitihani ya baraza huku wakiwa ni Vilaza wa kuogofya.Sasa sijajua NECTA inapima na kuevaluate kitu gani kutoka kwa mtahiniwa.

5.Kwa baraza kusahihisha na kutoa matokeo ya mitihani ni wajibu wao,

kuweka walimu wenye sifa na vigezo vinavyostahili kusahihisha mitihani ni jukumu lao.
Sote tumekuwa ni mashahidi kwa walimu wanaokwenda kusahihisha mitihani ya Taifa miaka ya hivi karibuni ya kwamba uwezo wao wa kufundisha ni mdogo kiasi cha kukatisha tamaa.
Je? atawezaje kusahihisha mtihani ambao hata yeye mwenyewe akipewa aufanye hauwezi !!!
sasa ni nani wa kulaumiwa hapa kama soyo baraza?

Dr.Ndalichako hakuwa na sababu ya kuonesha picha za Zombie!
ningefarijika kama angetoa ushauri kwamba kauna sababu ya kuingiza kwenye mitaala ya sekondari somo la sanaa ya uchoraji na taaluma yake.

Naunga mkono 100% WAANDISHI WENGI WAPO KUGANGA NJAA TU,lakini kwa hili la MAWIO, tusiwahukumu kwa dhaifu moja na kusahau mazuri lukuki.NAWAPONGEZA SANA.

Ninachoweza kusema measurement & evaluation wanayoifanya NECTA ni ya kinadharia zaidi ambayo haina ufanisi wowote,
HIVYO NDALICHAKO ANAHUSIKA KWA NAMNA ZOTE. asante
 

ww n gerad handoo nn? Ila co mbaya n mawazo yako, nayaheshimu
 
ww n gerad handoo nn? Ila co mbaya n mawazo yako, nayaheshimu

Hivi! Darius,tunawezaje kumtua mzigo huu huyo Dr.wakati na yeye ni mmoja wapo kati ya wale wanaosaidia kuididimiza Elimu na wewe ukiwemo usipopaza SAUTI Kudai mabadiliko
 
Hess Hapo no. 6 nakumbuka siku moja by chance nilisikia mhe. mmoja kwenye radio Imani alikuwa anasema..wanahusika na Islamic Knowledge kule Baraza hawana weledi wa kutosha..yaani wameokotwa tuu kutoka mtaani na hawana upeo wa kutosha kwenye Dini. Aligusia pia suala la usahihishaji wa mtihani wa I/Know akasema wanafunzi wanakoseshwa kwa sababu hao wanaowawakilisha hawana upeo wa kutosha..alitoa mf. Dini ya kiislamu ina nguzo ngapi?

Watu wengi hawajumu ya MoVET na NECTA. Ni vema Wizara ya Elimu ikafanya jitihada za kueleimisha umma.
 
Dah!. Mkuu umenena vema sana.

Hahahahaha ukshangaa ya firaun utayaona ya Musa ukshndana na upepo utachoka kwel hawa jamaa wanatakiwa wabadlke na waache kumuandama Ndalchako shule ni akili na miundombnu kama wenzao wakpeleka watoto international school wakiwa na 2yrs wao wanawapeleka madrasa ad 10yrs unategemea nini
 
chatts55Measurement & evaluation wanayoifanya NECTA ni ya kinadharia zaidi ambayo haina ufanisi wowote.

Je,unauhakika hiyo ni kazi ya NECTA?

Mimi nafikiri Meas. & Evalu. inakuwa ya nadharia kwa sababu ya Mazingira ya kazi ya kufundishia na bila kusahau mgogoro kati ya walimu na serikali kuhusu maslahi ujira wao.
 

Ukifahamu mitihani ipo kwa ajili gani,utanisoma bila ya wasiwasi
 

akasema wanafunzi wanakoseshwa kwa sababu hao wanaowawakilisha hawana upeo wa kutosha..alitoa mf. Dini ya kiislamu ina nguzo ngapi?
kumbe NECTA wanaokota watu wasio na ujuzi na taaluma husika! na bado mnasema dr.NDALICHAKO hawajibiki
 
Naomba na mimi kuunga mkono hoja!.....hata MIMI mara nyingi huwa nawashangaa sana wanaomshambulia huyu mama...ukweli ni kwamba mama huyu ni zaidi ya jembe mimi niseme ni nyundo! ukweli ni kwamba mama huyu kuna wakati mwingine huwa anafanya kazi za walichini yake ili mambo yaende vizuri! meibua uozo mwingi ndani ya baraza na si mnafiki...ni mtenda haki sasa napenda sana awe waziriwa ELIMU! MAMBO YATAENDA TU KWA MSOMI HUYU!
 
akasema wanafunzi wanakoseshwa kwa sababu hao wanaowawakilisha hawana upeo wa kutosha..alitoa mf. Dini ya kiislamu ina nguzo ngapi?
kumbe NECTA wanaokota watu wasio na ujuzi na taaluma husika! na bado mnasema dr.NDALICHAKO hawajibiki

Kwa maelezo yake yule mhe. ni kuwa ALIKIRI kuwa NECTA inatoa nafasi sawa kwa uwakilishi wa walimu wa Dini na alipingana sana na wale waliokuwa wanasema kuna uchakachuaji.Alisema kuwa waliamua kufanya utafiti wao wa kina na kugundua hilo.Hii ilitokea hivi majuzi kuhusu ishu ya grade mpaka wakasema mkuu wa kitengo cha Comp. amekula njama.

Kitu ambacho alikuwa akisema ni kuwa Hizo nafasi zinapotoka je nani anapaswa kushughulika nazo? kwa nini hizo nafasi zisiende kwa walengwa wenye uwezo ktk Elimu ya Dini? Alisema watu wafanye tafiti kabla ya kuropoka tu kuna uchakachuaji kumbe kuna tatizo la msingi nyuma.
 
Ukifahamu mitihani ipo kwa ajili gani,utanisoma bila ya wasiwasi

kupima Competence/Perfomance Lkn hata na hiyo inaishia kwenye makabrasha na sio kiuhalisia Darasani. Alafu hata hao wataalamu wa Meas. and Evalu. wapo wangapi? Ni wachache mno!Achilia mbali ugumu wa hiyo kozi ya Meas. & Evalu. Nilikuwa naona watu wanashuka hesabu za kufa mtu hata watu wa Engeneering wanashangaa hizo Maths zimetoka wapi.
 

Jabulani ulichokisema ndiyo haswaaaaaaaah. Wanachojaribu kufanya kwa udi na uvumba ni kuonesha kuwa huyo mama hafai kwa sababu kiutendaji anafunika sana. Sasa hivi kuna mkakati mzito wa kuendelea kumng'ang'ania na wanashikisha viongozi wa the gambaz na wengine ni viongozi wakubwa sana serikalini. Hata hao MAWIO wamefanya makusudi kwa lengo la kuendelea kuwatia watu hasira kuhusu huyo mama ambaye mimi naona ni jembe chapa kazi lakini kwa sababu za kiimani wanatafuta kila njia ili aonekane hafai. Upo mkakati wa kutumia vyombo vya habari kumchafua na hasa hiki kipindi cha kuelekea mitihani ataandikwa sana ili Mkuu wa Kaya asalimu amri.

Jionee mwenyewe kinachoendelea kinaambatanishwa
 

Attachments

Ama kweli nchi yetu imefika pabaya, ukistaajabu ya Mussa ya firauni ndiyo hayo. mHalafu viongozi wetu wakisimama kwenye majukwaa wanakomaaaaaa kweli eti nchi haina udini sasa hicho hapo ni nini tena wahusika ni viongozi wa chama na serikali na wale tunaowaita waheshimiwa wamo!! Ni nini hasa kimeikumba nchi hii.

Mungu ibariki Tanzania, walaani viongozi ambao badala ya kutuunganisha wanataka kutugawa watanzania kwa udini. Walaani waandishi wa habari wanaochochea UDINI ukianzia na mhariri wa MAWIO
 
Hivi hata hao akina Mh Saidi Mtanda wana upeo mdogo kiasi hicho wa kufikiri. Kwani NECTA iko wapi, hivi wanaposema lengo ni kuonesha kuwa tatizo ni NECTA ba siyo Wiara kwani NECA iko wapi? Kama mambo ya NECTA hayaendi vizuri ni nani anayepaswa kuwajibika kisiasa kama siyo waziri wa elimu?
 
Nchi imefikia mahali pabaya yaani hata mida kidogo tutagawanyika vipandevipande kutokana na itikadi, udini,ukabila, ukanda n.k
 
Ndio kwanza Doc Ndali kawa raisi wa mabaraza yote ya mitihani Africa. Big up umeng'aa kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…