kuhusu vitambi kwa akina mama kutokana na kuvaa suruali hasa za kubana ni kweli, kwa sababu kwa mwanamke excess energy ambayo inakkuwa stored inatakiwa ipelekwe ktk ****** na hips, kwa hiyo km mwanamke anavaa suruali ya kubana ni kwama homone zinazohusika na allocation ya excess energy ambayo inakuwa imebadilishwa kuwa mafuta itakapokuwa inataka kupeleka mafuta katika makalio na hips sehemu zitakuwa zimebanwa na surual kwa hiyo itasense kwamba sehemu hizo zimejaa na kwa hiyo itaamuru mafuta yapelekwe ktka tumbo na hivo kupelekea wanawake wanaovaa surual za kubana kuwa na vitambi. Kuhusu maji kujaa IKULU hilo bado sijalisoma labda niendelee kutafuta kisha nitalitolea ufafanuzi siku nyingine.