Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Kama pana ka ukweli flan ivii, lakini hiyo ya maji siamini sana. maana sioni mahusiano.
 
Kitambi= fast food+no exercise

ongezeko la maji ikulu ????????
nway hilo sio tatizo ...
nani anataka dry??
 
Usisahau kwamba Ndodi ni mganga wa jadi, anaweza kusema chochote anachotaka kushawishi wateja wake. Amekaa kibiashara zaidi. Sio kila anachokisema kina scientific plausibility. Hata hivyo anao uhuru wa kuongea na wewe unao uhuru wa kumsikiliza na kumfuata ilimradi huvunji sheria za nchi.
 
Wengine wamezidisha kwanini wavae zinazobana sana? Ile sehemu yahitaji kujinafasi na hewa ya kutosha ukizingatia joto la bongo. Hivyo Dkt kasema kweli tupu
 
Back
Top Bottom