Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

dah,,ntakustua bana....ila ukienda na laptop uiache reception kuna jamaa ameulaani mji mzima eti kuna wezi, wakati aliacha laptop chumbani akasepa

sasa kwa maukarimu ya mwenyeji wetu hili ni angalizo tu mkuu.....kisha mtaji wako wa kununua mlenda uufutike kibindoni 24/7 isije ikawa sababu ya kuhamia kabisa LOL

Wapi Nilham leo na mwenziye Hashy (asije akaiba tena kiroba cha simenti LOL leo sina hela ya kumdhamini)
heheheh dah! senks mkuu! niliona lile sredi jamaa wamemliza na laptop yake ya urisi, mimi ikiibiwa atalipa huyu mwenyeji wetu bana! yeye ndio anasababisha mimi nielekee dodoma. dah! hiyo hashy mkuu nazani leo iko kwenye mgao halaf jenereta kauza ili apate tiketi ya dubei lakini mpaka mida hii hela alopata inamfikisha uganda tu, dah! kimewaka
 
Haha haha, kituo kwenye sabubufa hapo! LOL
 
Hahaha! Youtube si ina kopiraiti lol! Hapana chelle ni besti angu namjali.

Ndo jina langu la script nini mkuu??? CHELLE,i real like it......l.o.l............maisha haya...:twitch:
 
Back
Top Bottom