Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

nasubiri siku aseme watu wachanganye mitishamba walishane sumu ndio mtatia akili!
 
muongo mkubwa huyu.. Kwa nini tv za tanzania zinawapa airtime watu wa aina hii? OMG
 
mbona hakusema kufuri na kawaida ya kufuli sikuzote inabana!!!
 
hilo taspeli limewashika sana watu, hamna kitu pale jamaa anafanya kazi ya shehe yahya tu
 


kaka umesema sawa kabisa ndo sisi humu tunamukumu ndod af tunawaacha wanawake/wanamme zetu kwa kuwa wana shape mbaya automatcaly mwanaume mafuta yanakaa kweny ktambi na mwanamke kwenye hips na makalio sasa sayansi isiyo hitaji hata phd
kwenye kiuno dada kabana jins yake na mkanda ukiiangalia kwa nyuma utafikiri ana makalio manne sasa mafuta yatapita wapi kwenda kwenye hps na makalio??
Wakati huo huo machps,pza,baga nk vinaingia tu toilet week, akienda ka mbuz mtaan anadundika tu p@@@vu!!

Mf: wale wadada wanaokuwa na vtambi
wanavaaga mabelt kwenye tumbo ya nini?
 
Mi nataka kujua biological relationship ya kuvaa suruali na kujaa maji ikulu. na vipi wale mamodo mbona huvaa suruali muda mwingi na hawana vitambi? tunasahau kuwa vitambi vingi nyakati hizi vinaletwa na vyakula na njia za uzazi wa mpango inakuwaje kwa wale ambao hawavai suruali lakini wana vitambi?
 
Siku za mwisho watajitokeza manabii wa uongo wengi sana,u can see hawana hata haya kujiita manabii pamoja na wake zao,make up you mind.
 
mh! anaongomba sana huyu mtu si kweli na nakataa, mimi ni mtu wa vibana makalio mwanzo mwisho lakini ikulu kahuna water wala maji mpaka nshomile wangu anachanganyikiwa, atafute kingine cha kutuambia
 
Mbona huku uswazi tunavaa madera full time na hatubanwi hata kidogo, ila vitambi utadhani mimba ya kujifungua?
 
Mbona mtaan kuna kina dada wamefungasha inye balaa na wanavaa suluari, vitambi wanawake hawafanyi mazoezi.
 
labda kweli....
wanawake wengi wanaopenda kuvaa suruali za kubana...
wanakuwa hwana wowowo....na wanakuwa na kitambi....
could be
Me nilikuwa sivai ila nimeanza mh itabidi niache mapema , maana tayari nimepigwa pasi ya uhakika. lol The Boss
 
Last edited by a moderator:

Wajinga ndio waliwao
 

Hiyo point ya kwanza,imenimaliza mbavu,hahhhahhaaaahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…