Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Basi jana nikamsikiliza Dr. Ndodi, mwenye hospitali yake Itumbi Hoteli, kupitia Channel 5. Akafundisha mengi na kumalizia na yafuatayo:

1. Kwa kawaida protein/wanga ya/wa ziada husababisha vitambi kwa kina baba na maumbo makubwa(hasa makalio na mapaja) kwa kina mama. Kwa kuwa wanawake wakivaa suruali wanabana makalio na mapaja, hivyo protini/wanga ya/wa ziada hutaifadhiwa matumboni na hivyo kusababisha wanawake kuwa na vitambi.

2. Mbali na vitambi, kuvaa suruali husababisha ongezeko la maji "ikulu".

Mie nimelileta ili nipate kujuzwa kama kuna ukweli wowote juu ya madai haya.
 
akupe ushaidi utuletee ukienda jiandae na buku 20 kumwona
wazo tu usiaibike kama ndugu
 
Yule ni mtaalamu,yaweza kuwa kweli......:coffee:

Nitajicheki kesho ntakuja jibu.........hilo la maji.....l.o.l
 
labda kweli....
wanawake wengi wanaopenda kuvaa suruali za kubana...
wanakuwa hwana wowowo....na wanakuwa na kitambi....
could be
 
labda kweli....
Wanawake wengi wanaopenda kuvaa suruali za kubana...
Wanakuwa hwana wowowo....na wanakuwa na kitambi....
Could be

unamaana kuwa suruali za kubana zinakula wowowo! Acha hizo bana! Si kweli!
 
inawezekana ikawa ukweli au uwongo,maelezo ya kina yanahitajika kusuport ama kutosuport hizo theories zake....:twitch:
 
tapeli hilo hahahahahahaha,sasa kama unaishi maeneo ya baridi kali utavaa nini jamani:coffee:
 
labda kweli....
wanawake wengi wanaopenda kuvaa suruali za kubana...
wanakuwa hwana wowowo....na wanakuwa na kitambi....
could be
Mh!.. Cdhan, mbn mitaani wapo kibao wanavaa suruali na wana ma sabuhufa hayo!...
 
Back
Top Bottom