Dr. Panjuan wa Panjuan ni nani?

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Habari zenu wakuu!

Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.
 
Habari zenu wakuu!

Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.

huyo aliesimama pembeni ya oscar oscar mweny karatasi kwny mfuko wa shati lake na kavaa kofia ndo dk panjuan ya panjuaniiiii
 
Kumbe ile ni sauti ya muhindi? Mbona haifanani, mi nilifikiri anamuigiza mchina!
 
Jamaa nilidhan ni muhindi kweli. Yaan anajua kuigiza wahindi kweli. Yaan huwa nacheka sana ktk hyo kona ya Dr. Panjuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…